Uongo wa Watanzania

Uongo wa Watanzania

mwaswast

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Posts
12,780
Reaction score
6,480
Hakuna kitu TZ tungefanya kwani Ofisi za UN Kenya zililetwa na Wazungu wakati wa Ukoloni, hivyo ni juhudi za Waingereza kupeleka Ofisi kwenye Koloni lao kwa sababu walizozijua wao wenyewe, na Uingereza ni moja kati ya nchi zinazotoa maamuzi huko UN, siyo kwamba Wakenya wenyewe kwa jihudi zao ndiyo walioleta UN Nairobi hapana, zilikuja kabla ya Uhuru!
UN offices in Nairobi were opened back in 1996 wacha kuwadanganya wana JF.
 
Back
Top Bottom