Uongo wa Watanzania

Uongo wa Watanzania

UN offices in Nairobi were opened back in 1996 wacha kuwadanganya wana JF.
infact, hio UNep ilikua ni HQ ya Africa pekee, ni wakati kibaki alikua rais ndo UNEP nairobi ilifanywa kua fully fledged global HQ yenye uwezo wa kuitisha general assembly ya heads of states and government

Hio UNoN ilikua established 1996 kupitia general assembly Yani nchi zote Duniani zinapiga Kura

Welcome to the United Nations Office at Nairobi | The United Nations Office at Nairobi
 
The only learned Danganyikans are NOT in JF........These ones who are in here are he goats who would like to feel relevant
 
What would you say about the learned kenyans😛
The only learned Danganyikans are NOT in JF........These ones who are in here are he goats who would like to feel relevant
 
Hujui lolote, tangu lini maoni ya mtu mmoja aanayetumia fake ID yakawa maoni ya nchi nzima?

Huu ni upuuzi wa wakenya wanaojiita wajuvi wa mambo!
Nimekuwa JF kwa miaka Saba sasa hivi na naweza kukueleza kwamba hivi ndivyo wabongo wengi wanavyofikiria. Very uninformed and ignorant.
 
Na wewe ni miongoni mwa wanaohitimisha mambo kwa kupitia idadi ya watanzania wanaotembelea jukwaa hili? Ndugu yangu kote huko ulikosoma hukuelekezwa vigezo vya kuzingatia katika kuhitimisha masuala? Usisababishe nianze kuhoji mfumo wa elimu ya Kenya

Pimpi kama wewe hana hadhi ya kuhoji mfumo wowote wa Elimu. Utahoji aje mfumo wa kitu ambacho hujawai pitia?
 
Sasa ntaachaje kuhoji mfumo unaomwandaa mtu kuanza kutoa matusi badala ya kujibu hoja! Ona unavyoidhalilisha elimu yako kwa kuweka matusi mbele tena mwanaume mzima. Hii michezo ya matusi nimezoea kuiona kwa vijana wanaopevuka.

Daft to be precise.
 
Back
Top Bottom