Uongo wa Zitto Kabwe

Zitto aliwahi kuzusha kuwa Sheikh Ponda kauawa kwa kupigwa risasi na polisi Morogoro.

Tapeli la kisiasa.
 
Noted.
 
Wewe ndio Muongo tena Mzushi, kwa sababu kesi ya Ditopile ilikua tofauti kabisa na mazingira ya kesi zinazomkabili huyu PIMBI wa KIMASAI, mkuu umeshindwa kuzingatia yafuatayo

1. Kesi ya Ditopile ilikua sio kesi iliyohusu kuua kulikotokana na utendaji wa shughuli zake za ofisi za kila siku kama Mkuu wa Mkoa

Bali ilikuwa ni kwa hasira za mhemuko wa kibinaadamu kama binaadamu wengine labda kulikotokana na kujiamini kwa cheo chake kama ambavyo kwa mwingine kungeweza kutokana na ulevi wa Pombe, Wivu au hasira za kupita kiasi

2. Kosa la Ditopile halikufanyika katika muktadha wa kutimiza majukumu yake ya kazi zake za kila siku katika eneo lake la kazi

Bali ilikua ni katika shughuli za safari zake binafsi nje ya eneo lake la kazi tena mkoa tofauti kwa sababu tukio lilitokea Dar es Salam wakati yeye akiwa Mkuu wa Mkoa Tabora

3. Tukio la Ditopile lilikua ni tukio binafsi katika hali ya kawaida ambalo lingeweza kumtokea mtu yeyote

Ndio maana kwa wakati huo hata Marehem Sheikh ya Haya na Dk. Tamba waliweza kuhusisha tukio lile na nguvu za Giza/Majini yaliyomkumba kwa sababu kulikua hakuna chembe yeyote ya sababu za kisiasa au kiutawala
 
Lakini mkosa ya Sabaya ni unique yaani Ujambazi wa kutumia silaha, tuhuma Ambazo hazijawa rasmi kama Kubaka..Hii kweli sijawahi kutokea Tanzania..
Umethibitishwa wapi ,au na wew unafuata mkumbo tu ,leo ukipewa Jina na mbakaji na ushahidi kemkem wa uongo ,ndo tukiute na we ni mbakaji ?
 
Kwa Ditopili hakuwa Mkuu wa Wilaya alikuwa Mkuu wa Mkoa pili aliimaanisha kuwa Serikali ilio madarakani kumsimamisha na kumshtaki kiongozi mwenye wadhifa wa Ukuu wa Wilaya haijawai kutokea hapa Tanzania

Sasa wewe unamwita muongo embu tutajie ni Mkuu wa wilaya ipi aliwahi kuvuliwa madaraka na kushtakiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…