johnmashilatu
JF-Expert Member
- Sep 16, 2010
- 841
- 909
Nimefika clinic ya NHIF saa 08.03, hadi kutika saa 09.15 hakuna daktari vyumba vyote 1-3. Maelezo yanatolewa kuwa wako "round". Tunadubiti dakika kama kumi anapatikana daktari mmoja( chumba no1).
Kuna wagonjwa zaidi ya 50, tunasubiri kudra ya wakuu hawa. Sasa ni saa 09.57 hakuna dalili ya kuongezeka daktari mwingine.
Tunapenda kuwapongeza kwa kujoresha huduma kwani zinatolewa kwa wakati kwani ukifikabjospitali ni lazima siku hiyo shuguli nyinhine zisimame.