mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 796
MIMI ni mtanzania muafrika mweusi si! nataka niwashukuru kwa kuanzisha hii JF imekuwa shule kuu na nataka niseme itaendelea kuwa shule yangu kabla baada ya shule zangu, nilizopitia
Kwa hiyo basi naahidi kuheshimu sana hii forum si kwamba nishawahi kumess up! hapana ni kwa namna ninavyokubali hii forum,
labda niseme kwamba kabla ya jf nilikuwa paltalk wana forum mbalimbali pia, lakini jf naipenda na nilitembea mitandaso yooote na mingine nisojua bado nafaham jk you have huge room to keep me in//
JF niliingia wkt nikiwa chuo kikuu kimoja majuu, na nikafukuzwa, inawezekana ni kwa sababu nilliiingia nikaanzakutumia bila kusoma sheria, sijui nilivunja sheria ipi lkn najua lazima nilivunja sheria na ndo maana sijalalamika..maana kutojua sheria si sabb ya msingi kutofungwa, jf you are my home please be!
sijui hata jf mwongozaj yuko wapi lakini hilo najua si muhimu kwangu kwa sasa, lakin i swear ikitokea tatizo nijulisheni kabla ya kuniban maana naheshimu forum
jf napendelea sana, siasa,na kila kitu humu ndani..natumia zaidi ya saa 6 kila siku jf, lkn vunja mbavu jf ni wale watu wanapozodolewa kwa kuandika uchafu mimi huwa nikisoma mtu anavyosemwa akikosea basi mimi mbavu sina ..kwa mfano leo.. jamaa mmoja aliomba aliwasema wenzake waliomaliza kidato cha 6 wasiende udom ..mkuu yule alichambwa sana..akapotea, mwingine alikuwa anashauri na akatoa lecture hatari ya kupiga puli..nilicheka sana..mesejiyake kwa sababu yeye mwenyewe kama hajalipiga mambo aliyoandika na yeye lazima alilipiga sana... sasa sijui alioa akaacha au la!!! sasa meseji yake inachekesha tu...ilivyo...siku moja kulitokea kukumbushana humu jf..watu wakaanza kukumbushana chupi tulizovaa miaka hiyooo za VIP.. kama tunacheza mpira utashangaa bchupi ipo kifuani..mwingine alivaa kaptula alikuwa haifui siku moja alivua akawa anaogelea, sasa kaptula ikabebwana mbwa..n kukumbuishsna enzi hizo... to jf you are the best please biig up ssana.
Naomba kuwasilisha.
sitashangaa kuchumbuliwa na wanajf..karibuni tu!:A S 465: