Uongozi jamii forum nataka niseme hili kwa moyo wangu wote naanika kwenu

Uongozi jamii forum nataka niseme hili kwa moyo wangu wote naanika kwenu

NAOGOPA KUFUNGUA JF MBELE ZA watu wa aibu maana sina mbavu, nikiwa kwa waheshimiwa nasoma politic na kadhalika..

chupi za saba saba juu hujazikuta...
 
zamani watu walikuwa wema, wanavaa chupi siku hizi, kila mwanaume mwenzangu kapiga kaptula ndani..walau boxer zimekuwa tutaacha bukta
 
karibu mpedwa ila avatar yako utata usije ukajitoa muhangaa humu jamvini
 
We jamaa facebook ni nzuri kwako na hayo matusi utakuwa na marafiki laki
 
Mbona husemi jf ilikufanya ufukuzwe chuo huko majuu au jf. Kwa ufahamu wangu jf hafukuzwi mtu ila anasimamishwa kwa mda ili ajirekebishe
 
Karibu sana. Ila punguza bla bla zimekuwa nyiiiingi, mpaka husomeki vizuri.
 
Back
Top Bottom