senator JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 1,924 Reaction score 66 Nov 8, 2010 #1 Haya mambo ndo yanawachanganya viongozi wetu wa africa kuto achia madaraka.. Just imagine hapo angekuwa Dr Slaa sijui angeomba awe na mkewe au Davis M? Asikwambie mtu kuongoza nchi kuna raha yake..
Haya mambo ndo yanawachanganya viongozi wetu wa africa kuto achia madaraka.. Just imagine hapo angekuwa Dr Slaa sijui angeomba awe na mkewe au Davis M? Asikwambie mtu kuongoza nchi kuna raha yake..
senator JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 1,924 Reaction score 66 Nov 8, 2010 Thread starter #2 JZ alikuwa moja ya vivutio pamoja na Jongwe