SoC04 Uongozi na ufisadi. Tanzania tuitakayo miaka 15 ijayo

SoC04 Uongozi na ufisadi. Tanzania tuitakayo miaka 15 ijayo

Tanzania Tuitakayo competition threads

Aberd nyaganilwa

New Member
Joined
Jun 1, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Kutokana na kila kiongozi /watumishi wanao teuliwa na viongozi wakuu ,mfano rais kuendeleza ufisadi karibu kila secta. Kutungwe sheria maalumu itakayo tumika kuwa filisi ,kutaifisha mali za mtuhumiwa au kunyongwa.

Tuhakikikishe kunakua na tasisi maalumu kutoka (NGOS ) mashirika yasiyo ya kiserikali, vifanye kazi Pamoja na tasisi za serikali kumchunguza mtuhumiwa kama tuhuma au kesi yake ni ya kweli au Laa!, kama CAG Takukuru, Polisi na mahakama. Hii itaondoa kesi za kutengenezwa kama zile zilizo pita kwenye utawala wa awamu 5 ambapo watu walifilisiwa mitaji yao kwa sheria ya uhujumu uchumi pasipo na ushahidi.


Hata tuwe na katiba mpya pasipo na sheria kali ya kudhibiti ufisadi ni kazi bure. kila mtu akiwa nje ya mfumo huwa na tabia nzuri ya kutetea watu lakini akisha teuliwa kua kiongozi huanza wizi kwakua yumo ndani ya mfumo ,ana aminishwa kua hata akiiba atahamishiwa mahali pengine ,Chanzo cha Tanzania kua masikini ni UFISADI ulio kidhiri kila sekita.

Wenzetu huko China wameweza kudhibiti ufisadi kutokana na sheria kali na si katiba mpya .Tanzania ilitakiwa kutoka misaada na sikupokea misaada kwakuwa tuna rasilimali za kutosha lakini zina wanufaisha wachache.Tuji ulize utajiri kama madini ya Tanzanite ambapo madini haya yapo Tanzania pekee unakwenda wapi?.

Miaka iliyo pita wauzaji wakuu wa Tanzanite ilikua ni Kenya na south Afrika mpaka dunia ikaamini kua madini haya yana chimbwa Afrika kusini.Maana kuna hata mjengo wa kifahari wa Tanzanite upo like.

Tuna dhahabu na madini mengi lakini bado tunapata misaada hata kwenye nchi kama Uswis ambayo kama angelikua Mtoto tungesema alizaliwa kilema wao hawana madini wala ardhi nzuri kwa kilimo kama Tz. ,lakini wanatupa misaada, mataifa mengi ya Ulaya hutegemea nchi za Afrika Ikiwemo Tanzania kupata malighafi za viwanda vyao kama madini nik.
 
Upvote 0
Back
Top Bottom