Gilbert Prudence Member Joined Oct 30, 2018 Posts 35 Reaction score 62 May 10, 2024 #1 Hivi wakuu wa mikoa hawaoni kazi Makonda anayofanya ili waige au mikoa mingine wananchi hawana matatizo. Tujifunze kitu watu kama Makonda hupita lakini katiba mpya uishi
Hivi wakuu wa mikoa hawaoni kazi Makonda anayofanya ili waige au mikoa mingine wananchi hawana matatizo. Tujifunze kitu watu kama Makonda hupita lakini katiba mpya uishi