Dominic Trax
New Member
- Aug 27, 2022
- 1
- 0
Waswahili husema "Pafukapo moshi basi pana moto" naam kwa hakika.
Leo hii kilio na malalamiko kila mahali juu ya utawala bora, Elimu bora na hata mfumo mzuri wa maisha, ndugu zangu watanzania, nyumba bora na hata familia bora haijengwi kwa maono ya watoto kwa kuwauliza leo tule nini hasa wakati wa shida na dhiki.
Hebu turudi nyuma na tuzitazame nchi kubwa zilizoendelea kiuchumi, kisiasa, elimu na hata maisha.. ( UINGEREZA, UJERUMANI, JAPANI, CHINA) sote ni mashahidi kwa hakika zimepitia wakati mgumu sana katika nyanja hizo kipindi cha nyuma na hata viongozi waliofanya hivyo wakilaaniwa na wananchi wa zama hizo lakini matunda ya mtu mmoja aliejitosa na kukubali lawama imewanufaisha kizazi chote cha nchi hizo.
WATANZANIA tuigeni mifano,, "Demokrasia ni kwa nchi huru kiuchumi" Alisema shujaa wa Afrika MUHAMAR GADAFFI. Kwanini tuige kula chakula cha gharama ya kuwa sisi ni masikini!
Ndugu zangu, mabadiliko ni mwendo wa hatua za taratibu zenye maumivu, Uongozi ni Karama, misimamo na maono.
Maendeleo ni machungu, Leo hii mtu akifuata sheria anaonekana ni kibaraka wa kundi Fulani,, usia wangu kwa viongozi"msifikie hatua tukatamani kuwarudishia mikia tuliowakata wakati wa uchaguzi, timizeni majukumu yenu nasi tutatimiza ya kwetu.
STORY OF CHANGE..BY DOMINIC TRAX.[/B]

Upvote
0