Uongozi ni nguvu,ushawishi au mamlaka?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Ndugu zangu


Sitapenda kuleta mizunguko mingi kwanza tayari tumeshachoka na siasa za nchi kwa kuendelea kujadili bila kufanyiwa mabadiliko katika mifumo(input or output) katika maswala tofauti kama vile uchumi,siasa,jamii n.k

Leo naomba kujibiwa ni jambo gani linafanya mtu kuwa kiongozi katika ngazi ya familia,mtaa,mkoa,taasisi n.k


1.nguvu

2.ushawishi

3.Mamlaka


Na ikiwa ni nguvu kwanini watawaliwa huchallenge nguvu zako,labda kama ushawishi pia kwanini wanachallange??

Nimemaliza
 
Vyote
 
uongozi ni kutenda haki. haki ikikosekana ni bure
 
Uongozi wa kidemokrasia ni ushawishi na mamlaka kwa mujibu wa sheria. Nguvu ni matumizi ya shuruti ya vyombo vya dola.
 
Uongozi ni hekima na busara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…