Janeth Thomson Mwambije
Member
- Apr 11, 2024
- 24
- 55
Kupitia Uongozi wa Viongozi Wetu, Tunajifunza Ushupavu na Hekima Kubwa Katika Kukabiliana na Mambo Ya Kijamii, Kitaifa, Kimataifa, na Mmoja mmoja.
Tunajifunza Kuwa Uongozi Ni Kuwa Mfano Pale Ambapo Hauna Mfano. Hujui Nini Ufanye. Hujui Vipi Ukabiliane
Tunajifunza Kuwa Uongozi Ni Kuwa Tayari Kuwa Katika Pande Zote Za Sifa Njema na Mbaya.
Tunajifunza Kuwa Uongozi Ni Kujilinda Kiakili, Kimwili, Na Kiroho, Kutokana Na Vile Adui Hachagui Silaha Ya Kutumia
Tunajifunza Kuwa Uongozi Ni Vita. Si Mahali Pa Kutegemea Amani. Uongozi wa Yeyote Hauwezi Kufurahisha Watu Wote. Tukimrejea Nabii Issa (BWANA YESU) Alitenda Mema Yote Lakini Bado Hakufurahisha Watu Wote... Bado Alipitia Usaliti, Upinzani, Na Mateso Makali
Tunajifunza Kuwa Uongozi Ni Ualimu. Wewe Ndiye Unayepaswa Kuwafundisha Unaowangoza na Usiowaongoza, Njia. Watu Huweza Kukurejelea. Watu Huweza Kujiboresha. Watu Huweza Kuwa Wapya, Kupitia Kiongozi
Tunajifunza Kuwa Uongozi Ni Umakini wa Hali Ya Juu. Tunapaswa Kuwa Makini Katika Kufanya Maamuzi..... Kwani Ndiyo Yatayoamua Malengo Yetu ✍️View attachment 498D8DBC-5E39-4F16-8FF9-4C7964C5BD3D.jpeg
UONGOZI NI UTAYARI NA WITO ✍️
#KAZIIENDELEE 🇹🇿