Uongozi Simba SC unatuchezea mchezo mashabiki na Wanachama utakaomwangukia Kocha. Hii Februari ni vilio kwetu

Uongozi Simba SC unatuchezea mchezo mashabiki na Wanachama utakaomwangukia Kocha. Hii Februari ni vilio kwetu

Mleta Uzi ni mbele mwiko nyuma mwiko.
 
Furaha yangu ni kuona (makolo) Simba SC hawaelewani 😂😂😂😂 ni mtazamo povu ruksa
 
Misukule ya Mwamedi haiwezi kuhoji hili, inashupalia mkataba wa Yanga unaowaingizia mkwanja mrefu
 
Makinika na kauli ya kuwa na ukiasi mkuu hutopata shida na majozi katu.

Mfano,
Penda kwa kiasi,furahi Kwa kiasi,shabikia kitu Kwa kiasi.

Lakini pia,mi naonaga mara nyingi kama Yanga akiwa na kikosi kizuri na Bora basi Simba anakuwa na kikosi cha kuunga unga na kisicho na muunganiko Kiasi kwamba mchezaji mmoja akiumia anakosa mbadala wake.

Vivyo hivyo ata Simba akiwa na kikosi Bora na kizuri Tambua Yanga kikosi Chao ni Chakuungua unga.

Kwahiyo ni suala la muda tu kama mwenzako aliweza kuvumilia ulipo nyanyua ndoo zaidi ya maratatu mfululizo mwache na mwenzako achukue ata mara mbili au tatu mfululizo pia.
 
Maisha magumu kwa timu yetu pendwa yaanzia leo, bila mbeleko hatutoboi.
 
Makinika na kauli ya kuwa na ukiasi mkuu hutopata shida na majozi katu.

Mfano,
Penda kwa kiasi,furahi Kwa kiasi,shabikia kitu Kwa kiasi.

Lakini pia,mi naonaga mara nyingi kama Yanga akiwa na kikosi kizuri na Bora basi Simba anakuwa na kikosi cha kuunga unga na kisicho na muunganiko Kiasi kwamba mchezaji mmoja akiumia anakosa mbadala wake.

Vivyo hivyo ata Simba akiwa na kikosi Bora na kizuri Tambua Yanga kikosi Chao ni Chakuungua unga.

Kwahiyo ni suala la muda tu kama mwenzako aliweza kuvumilia ulipo nyanyua ndoo zaidi ya maratatu mfululizo mwache na mwenzako achukue ata mara mbili au tatu mfululizo pia.
Simba tuna miaka ya kuteseka kama mitano hivi mbele ya Yanga.
 
JamiiForums108051052.jpg
 
Cjui unazungumziaje yule mbeba box wenu mliomtoa EPL ya mchongo
Yaani mpaka Manzoki ameletwa kwenye Mkutano wa uchaguzi kuwalaghai wanachama wa Simba, bado tu una shaka na maneno ya mwenyekiti mstaafu Alhaji Ismail Aden Lage.
Maneno ambayo aliyatamka kwenye Mkutano wa wanachama wote!!
Kitendo Cha Manzoki kuwepo kwenye Mkutano wa Uchaguzi maanayake ni kupigilia msumari maneno ya Lage, Wala huitaji kwenda Quba kulielwa ilo.
 
Na atakaebisha kama wao sio mbu3 aje hapa atueleze leo vs singida anaanza manzoki au boko
Leo anaanza John Suarez Boko, benchi la ufundi tuna mzungu wetu.

Simba SC, Nguvu moja.
 
Yaani hakuna timu yenye maboya wengi kama Thimba.......mpaka mtu kajiuzia basi la timu mnamwangalia tu.....mbumbumbu sana nyie
 
Huyu sawadogo anazunguka pale kati kama kishada tu
 
Back
Top Bottom