Ni misukule ilochanganyika na uzezeta.Misukule ya Mwamedi haiwezi kuhoji hili, inashupalia mkataba wa Yanga unaowaingizia mkwanja mrefu
Simba tuna miaka ya kuteseka kama mitano hivi mbele ya Yanga.Makinika na kauli ya kuwa na ukiasi mkuu hutopata shida na majozi katu.
Mfano,
Penda kwa kiasi,furahi Kwa kiasi,shabikia kitu Kwa kiasi.
Lakini pia,mi naonaga mara nyingi kama Yanga akiwa na kikosi kizuri na Bora basi Simba anakuwa na kikosi cha kuunga unga na kisicho na muunganiko Kiasi kwamba mchezaji mmoja akiumia anakosa mbadala wake.
Vivyo hivyo ata Simba akiwa na kikosi Bora na kizuri Tambua Yanga kikosi Chao ni Chakuungua unga.
Kwahiyo ni suala la muda tu kama mwenzako aliweza kuvumilia ulipo nyanyua ndoo zaidi ya maratatu mfululizo mwache na mwenzako achukue ata mara mbili au tatu mfululizo pia.
Hahahah! mitano ni mingi mkuu.Haiwezi ikawa miaka yote hiyo.Simba tuna miaka ya kuteseka kama mitano hivi mbele ya Yanga.
Yaani mpaka Manzoki ameletwa kwenye Mkutano wa uchaguzi kuwalaghai wanachama wa Simba, bado tu una shaka na maneno ya mwenyekiti mstaafu Alhaji Ismail Aden Lage.
Maneno ambayo aliyatamka kwenye Mkutano wa wanachama wote!!
Kitendo Cha Manzoki kuwepo kwenye Mkutano wa Uchaguzi maanayake ni kupigilia msumari maneno ya Lage, Wala huitaji kwenda Quba kulielwa ilo.
Na atakaebisha kama wao sio mbu3 aje hapa atueleze leo vs singida anaanza manzoki au bokoJapo sijasoma hili bandiko ila nachojua uongozi wa Simba unaelewa kuwa mashabiki wote wa Simba ni mbumbumbu
Bora yule walau mpira kacheza, vipi mzungu Deejan?Cjui unazungumziaje yule mbeba box wenu mliomtoa EPL ya mchongo
Leo anaanza John Suarez Boko, benchi la ufundi tuna mzungu wetu.Na atakaebisha kama wao sio mbu3 aje hapa atueleze leo vs singida anaanza manzoki au boko
Kweli sisi mazezeta.Yaani hakuna timu yenye maboya wengi kama Thimba.......mpaka mtu kajiuzia basi la timu mnamwangalia tu.....mbumbumbu sana nyie