Uongozi Simba usituone mashabiki mapunguani

Uongozi Simba usituone mashabiki mapunguani

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Screenshot_2018-09-18-16-36-13.png

Maana yake ni kwamba mzungu akipigwa kadi Simba haitakua na kocha kwenye bechi. Maana yake mzungu akiugua ghafla Simba haitakuwa na kocha. Maana yake Simba inapoteza hela kuajiri assistant coach hahitajiki. Sidhani kama aliajiriwa kubaki na wachezaji wasiosafiri.

Tunajua kuna gogoro,litatueni sio kutukejeri mashabiki. Tukiamua hiyo Kirumba hamtakaa muamini
 
Huu ukenge usije kutugharimu tar 30/09. Ni bora kufungwa na Charambe United kuliko kufungwa na Vyura FC. Hii migogoro huwa inatugharimu sana...!
 
View attachment 870075

Maana yake ni kwamba mzungu akipigwa kadi Simba haitakua na kocha kwenye bechi. Maana yake mzungu akiugua ghafla Simba haitakuwa na kocha. Maana yake Simba inapoteza hela kuajiri assistant coach hahitajiki. Sidhani kama aliajiriwa kubaki na wachezaji wasiosafiri.

Tunajua kuna gogoro,litatueni sio kutukejeri mashabiki. Tukiamua hiyo Kirumba hamtakaa muamini
Usipoenda wewe cc tutaenda pambana na hali yako
 
Mashabiki mbumbumbu siku zote ni mbumbumb tu na mtaendelea kufanywa wajinga na mapunguani milele
 
Huyo mwanamieleka tar 30 aandae mabegi kabisa,mbumbumbu hawatamwacha.
 
Back
Top Bottom