Uongozi Simba watueleze ile michango ya nani zaidi iko wapi?

Mbona hauuulizi mishahara ya wachezaji na staff inatoka wapi?
 
Ila Watanzania balaa, ingekuwa ni kuchangia watu kadhaa wapate mitani Wala usingeona wakichanga ila kuchangia hiyo mizimu yetu miwili wako fasta. Mimi ni mshabiki wa Simba lakini kamwe sitokuja kuchangia pesa eti kwa ajili ya kujenga uwanja au kujaza bakuli kama walivyokuwaga wanafanya Yanga. Haiwezekani viongozi hawana mipango makini kwa miaka zaidi ya sabini kazi Yao ni kula tu alafu leo eti kirahisi tu nichangie timu. Kazi yangu kubwa n kununua tikeni za uwanjani, kununua jezi nk
 
Kula 5 Mkuu, wewe uko pamoja nami. Viongozi wa hizi Timu 2 wanatakiwa wafikirie nje ya boksi na sio kutumia outdated ways kuchangisha michango kwa kisingizio cha uzalendo kwa Timu.
 
Mkuu, vip za timu ya Wananchi zenyewe huhitaji kujua labda au Uzi mwingine utaleta kuuliza na zenyewe?
 
Mkuu, vip za timu ya Wananchi zenyewe huhitaji kujua labda au Uzi mwingine utaleta kuuliza na zenyewe?
Wao walisema mwanzoni kabisa zao zitafanya matumizi ya kawaida ila sio kujenga uwanja, Simba SC wao kupitia CEO wao bibie Gonzalez Barbra,alijinasibu kuwa wao wanaenda kujenga uwanja kupitia project hio.
Na akawachukua vijana fulani akasema kuwa ndio wakandarasi akaenda nao bunju kuonyesha kuwa wamedhamilia! Ila mpaka sasa hakuna cha tofali,mchanga au kipande cha nondo uko bunju ndio maana tunauliza michango ya uwanja iko wapi? Uwanja utaanza kujengwa lini?
 
Mil 260 unajengea nini?
 
Mbona umefeli sana, litle kuuuubwa ...ATUELEZE afu kwe maelezo unanawekea maneno mdomoni mashabiki wa simba. Unajipambanua vizuri sana wewe sio shabiki wa simba sasa ngojera ndefu ya nini.
Kwani hao waliokutuma wametangaza rasmi walipata kiasi nani na kipo wapi? UJINGA MTUPU. MBAFU KABISA WW
 
Usitoe povu kijana eleza taratibu pesa tulizochangia ziko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…