mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Mbona hauuulizi mishahara ya wachezaji na staff inatoka wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kila anauliza swali ni kinye,wengine sisi ni Simba wenye akiliwewe Kinyeeeee.mabwana zako bado hatujafanya mkutano mkuu.
Kula 5 Mkuu, wewe uko pamoja nami. Viongozi wa hizi Timu 2 wanatakiwa wafikirie nje ya boksi na sio kutumia outdated ways kuchangisha michango kwa kisingizio cha uzalendo kwa Timu.Ila Watanzania balaa, ingekuwa ni kuchangia watu kadhaa wapate mitani Wala usingeona wakichanga ila kuchangia hiyo mizimu yetu miwili wako fasta. Mimi ni mshabiki wa Simba lakini kamwe sitokuja kuchangia pesa eti kwa ajili ya kujenga uwanja au kujaza bakuli kama walivyokuwaga wanafanya Yanga. Haiwezekani viongozi hawana mipango makini kwa miaka zaidi ya sabini kazi Yao ni kula tu alafu leo eti kirahisi tu nichangie timu. Kazi yangu kubwa n kununua tikeni za uwanjani, kununua jezi nk
Mkuu, vip za timu ya Wananchi zenyewe huhitaji kujua labda au Uzi mwingine utaleta kuuliza na zenyewe?Baada ya mechi ya ligi msimu uliopita ya Simba na yanga iliyofanyika uwanja wa taifa na CEO wa Simba kuzuiwa kuingia uwanjani, viongozi wa Simba, wanachama na mashabiki walikuja juu na kuamua kuanzisha michango yao ili kujenga uwanja wao wa mpira,watu wengi walijitokeza kuchangia pesa ila baada ya muda zoezi ilo lilisitishwa kimya kimya bila majibu yeyote, wala mrejesho wowote kwa mashabiki, ila kwakuwa mashabiki wa Simba hawapendi migogoro na viongozi wao waliamua kukaa kimya uku wakiugulia maumivu ya kutapeliwa pesa zao.
Kama haitoshi CEO wao tena akaja na mchezo mwingine wa kuchukua fedha za mashabiki wa club hio! Mara hii akaja na mawazo na kuwashirikisha watani zao yanga SC,kwenye shindano la kuchangia club zao ambalo lilijulikana kama nani zaidi? uku akisema fedha zitakazo patikana zitaenda kwenye ujenzi moja kwa moja!mashabiki wakahoji fedha tulizochangisha mara ya kwanza ziko wapi na ni kiasi gani? Akaja na majibu kuwa ni millioni sitini,TSH ml60 bila kusema ziko wapi? Kama kawaida mashabiki hawakuridhika na maelezo ya CEO wao ila kwakuwa wanapenda maendeleo ya timu yao wakachangia kwa kiasi kikubwa, ili kuwatia moyo CEO akawachukua vijana aliowaita wakandarasi wakavaa vi nguo vinavyotumiwa na wajenzi akaitisha press akaenda bunju kuonyesha kuwa wako site,ili kuwapumbaza wanasimba wazidi kuchangia.
japo baadae watani zao yanga walijitoa kwenye shindano ila Simba waliendelea kuchanga, mara zoezi likasitishwa gafla bila maelezo yeyote!! Na mpaka leo hakuna chochote kinachoendelea uko bunju kwenye uwanja wao,wala hakuna taarifa yeyote pesa ziko wapi?kama zipo benki, benki gani na kwa makubaliano yapi?
Ninachokiona mimi hapo Simba kuna usanii mkubwa unaendelea!maana haiwezekani watu wanachangisha michango hawatoi taarifa yeyote kuhusu michango imefika kiasi gani?na gafra tu wanakuja tena na sound za kukusanya michango mingine bila kuonyesha michango ya nyuma ilifanya nini? CEO wa Simba inaonekana ana taka kufanya mambo mengi peke yake kwa wakati mmoja bila kujali nguvu aliyonayo.
Mashabiki wa Simba muamke haiwezekani pesa zichangwe bila kuonyesha matumizi yake! Huo ni wizi, CEO wa Simba na viongozi wa bodi ya wakurugenzi, acheni janja janja za kuwaibia mashabiki zenu uku mnashindwa kuwaletea furaha! Mmeigeuza Simba SC kama pombe ya ngomani ambayo yanga wanajichotea tu! mmegeuza washabiki zenu kama wajinga wasiojielewa,siku wakiamka watawatafuna kama lilivyo jina la timu yao.
Wao walisema mwanzoni kabisa zao zitafanya matumizi ya kawaida ila sio kujenga uwanja, Simba SC wao kupitia CEO wao bibie Gonzalez Barbra,alijinasibu kuwa wao wanaenda kujenga uwanja kupitia project hio.Mkuu, vip za timu ya Wananchi zenyewe huhitaji kujua labda au Uzi mwingine utaleta kuuliza na zenyewe?
Mil 260 unajengea nini?Wao walisema mwanzoni kabisa zao zitafanya matumizi ya kawaida ila sio kujenga uwanja, Simba SC wao kupitia CEO wao bibie Gonzalez Barbra,alijinasibu kuwa wao wanaenda kujenga uwanja kupitia project hio.
Na akawachukua vijana fulani akasema kuwa ndio wakandarasi akaenda nao bunju kuonyesha kuwa wamedhamilia! Ila mpaka sasa hakuna cha tofali,mchanga au kipande cha nondo uko bunju ndio maana tunauliza michango ya uwanja iko wapi? Uwanja utaanza kujengwa lini?
Zipo wapi? maana lengo lilikuwa kujenga uwanja!Mil 260 unajengea nini?
Mbona umefeli sana, litle kuuuubwa ...ATUELEZE afu kwe maelezo unanawekea maneno mdomoni mashabiki wa simba. Unajipambanua vizuri sana wewe sio shabiki wa simba sasa ngojera ndefu ya nini.Baada ya mechi ya ligi msimu uliopita ya Simba na yanga iliyofanyika uwanja wa taifa na CEO wa Simba kuzuiwa kuingia uwanjani, viongozi wa Simba, wanachama na mashabiki walikuja juu na kuamua kuanzisha michango yao ili kujenga uwanja wao wa mpira,watu wengi walijitokeza kuchangia pesa ila baada ya muda zoezi ilo lilisitishwa kimya kimya bila majibu yeyote, wala mrejesho wowote kwa mashabiki, ila kwakuwa mashabiki wa Simba hawapendi migogoro na viongozi wao waliamua kukaa kimya uku wakiugulia maumivu ya kutapeliwa pesa zao.
Kama haitoshi CEO wao tena akaja na mchezo mwingine wa kuchukua fedha za mashabiki wa club hio! Mara hii akaja na mawazo na kuwashirikisha watani zao yanga SC,kwenye shindano la kuchangia club zao ambalo lilijulikana kama nani zaidi? uku akisema fedha zitakazo patikana zitaenda kwenye ujenzi moja kwa moja!mashabiki wakahoji fedha tulizochangisha mara ya kwanza ziko wapi na ni kiasi gani? Akaja na majibu kuwa ni millioni sitini,TSH ml60 bila kusema ziko wapi? Kama kawaida mashabiki hawakuridhika na maelezo ya CEO wao ila kwakuwa wanapenda maendeleo ya timu yao wakachangia kwa kiasi kikubwa, ili kuwatia moyo CEO akawachukua vijana aliowaita wakandarasi wakavaa vi nguo vinavyotumiwa na wajenzi akaitisha press akaenda bunju kuonyesha kuwa wako site,ili kuwapumbaza wanasimba wazidi kuchangia.
japo baadae watani zao yanga walijitoa kwenye shindano ila Simba waliendelea kuchanga, mara zoezi likasitishwa gafla bila maelezo yeyote!! Na mpaka leo hakuna chochote kinachoendelea uko bunju kwenye uwanja wao,wala hakuna taarifa yeyote pesa ziko wapi?kama zipo benki, benki gani na kwa makubaliano yapi?
Ninachokiona mimi hapo Simba kuna usanii mkubwa unaendelea!maana haiwezekani watu wanachangisha michango hawatoi taarifa yeyote kuhusu michango imefika kiasi gani?na gafra tu wanakuja tena na sound za kukusanya michango mingine bila kuonyesha michango ya nyuma ilifanya nini? CEO wa Simba inaonekana ana taka kufanya mambo mengi peke yake kwa wakati mmoja bila kujali nguvu aliyonayo.
Mashabiki wa Simba muamke haiwezekani pesa zichangwe bila kuonyesha matumizi yake! Huo ni wizi, CEO wa Simba na viongozi wa bodi ya wakurugenzi, acheni janja janja za kuwaibia mashabiki zenu uku mnashindwa kuwaletea furaha! Mmeigeuza Simba SC kama pombe ya ngomani ambayo yanga wanajichotea tu! mmegeuza washabiki zenu kama wajinga wasiojielewa,siku wakiamka watawatafuna kama lilivyo jina la timu yao.
Usitoe povu kijana eleza taratibu pesa tulizochangia ziko wapi?Mbona umefeli sana, litle kuuuubwa ...ATUELEZE afu kwe maelezo unanawekea maneno mdomoni mashabiki wa simba. Unajipambanua vizuri sana wewe sio shabiki wa simba sasa ngojera ndefu ya nini.
Kwani hao waliokutuma wametangaza rasmi walipata kiasi nani na kipo wapi? UJINGA MTUPU. MBAFU KABISA WW
Lupweko jibu hoja acha mipasho! Michango iko wapi?