Uongozi wa Alikiba wajibu kilichotokea Mombasa

Angeomba radhi Kwanza kisha akaanza kujibu tudeme Kiba anagundu wenzake woote wamepafomu bila shida yy ndio kqzimiwa mic na kashushwa pekeake
 
Sallam ndio kasema kuwa Kulikuwa na kutunushiana misuli Kati ya Ali na Wizkid hiyo ilikuwa kauli ya Sallam
Acha uongo wako wewe! Habari za fights kati ya WizKid na Kiba ziliripotiwa na media kupitia source ambayo hawakui-reveal.Sallam alichosema ni hiki: "Mimi sijui kwa watu wengine ambao habari zinasikika kuwa (Ali) anasema yeye ni mkubwa kuliko WizKid... that has nothing to do with me!" Dakika 5:43 hadi 5:50.


Haya toa reference ya hayo maelezo yako!!!!
 
Eti alianza kuswali kabla ya kupanda stejini ndio maana wanyamwezi wakaona anazingua.
 
kitu
Eti alianza kuswali kabla ya kupanda stejini ndio maana wanyamwezi wakaona anazingua.
kitu yenyewe anayo imba ni kinyume na dini si bora angekula kush yake saafi akili ikae sawa?
 
Alikiba hajiamin kabsa Yan na anahis anahusudiwa na team diamond ndo mana kila akimuon team mond Hana Aman anahis figisu ndo maan Hana maendeleo ya Sanaa na uchum pia
 
Basi Kiba ni mbea na kama Salam alivyosema inabidi Kiba awaombe radhi fans wake pamoja na Wakenya kwa ujumla. Aache kumsingizia Salam wakati anaujua ukweli. Kama angesema yote haya siku ile anahojiwa mbona angeeleweka tu. Lakini bla bla tu...... hovyo na team yake ya PR nayo hovyo
 
Ali Kiba ni mnafiki kama alijua kuna hayo yote alishindwa nini kusema wakati anahojiwa?
Mwisho wa siku anasema haelewi kilichokua kinaendelea mara meneja wa Diamond.
AK acha unafiki fanya kazi bongo fleva inamwisho watu watakuchoka sasa hivi utabaki history kama wenzako kina Mr Nice ushauri tu
 
Alikiba hajiamin kabsa Yan na anahis anahusudiwa na team diamond ndo mana kila akimuon team mond Hana Aman anahis figisu ndo maan Hana maendeleo ya Sanaa na uchum pia
ni ugonjwa wa akili unaitwa paranoid Schizophrenia. ni ugonjwa na una dawa wala si swala la kuonea aibu.
 
wiz alimwambia ali haondoki mpaka aone show yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

mbona aliondoka na SK
ALafu ali kajifunza lini kimombo
 
All in all
Huu mchezo hauhitaji hasira
 
Kama ni hivyo mbona kiba analalamika kuusu salm siangelalamikia ratiba na waandaaji sasa hapo tumwamini nani ? Ally au menage??????
 
Eti alianza kuswali kabla ya kupanda stejini ndio maana wanyamwezi wakaona anazingua.
Miziki yenyewe yakiuni swala wapi na wapi isije ikawa brown alizani gaidi wapapangua vyombo alivyo panga kiba wakitafuta milipuko
 
Kiba anapenda kuzingua madesa, watu wamemlipa hela akaimbe, yeye anaenda kuwaswalia. Kama wangemtaka Shehe si wangemualika Kipozeo.
Wamarekani waliisi gaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…