Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo wako wewe! Habari za fights kati ya WizKid na Kiba ziliripotiwa na media kupitia source ambayo hawakui-reveal.Sallam alichosema ni hiki: "Mimi sijui kwa watu wengine ambao habari zinasikika kuwa (Ali) anasema yeye ni mkubwa kuliko WizKid... that has nothing to do with me!" Dakika 5:43 hadi 5:50.Sallam ndio kasema kuwa Kulikuwa na kutunushiana misuli Kati ya Ali na Wizkid hiyo ilikuwa kauli ya Sallam
W-WasafiHivi kirefu cha wcb Ni nini hasa Hilo herufi la b Ni nini? Msaada
kitu yenyewe anayo imba ni kinyume na dini si bora angekula kush yake saafi akili ikae sawa?Eti alianza kuswali kabla ya kupanda stejini ndio maana wanyamwezi wakaona anazingua.
kitu
kitu yenyewe anayo imba ni kinyume na dini si bora angekula kush yake saafi akili ikae sawa?
Duuuhh umeua...Kiba anapenda kuzingua madesa, watu wamemlipa hela akaimbe, yeye anaenda kuwaswalia. Kama wangemtaka Shehe si wangemualika Kipozeo.
Wasafi classic baby.... What a f? *+?B ni baba ako
Hahahahhahahahhhhhhahhahah maninaaaB ni baba ako
ni ugonjwa wa akili unaitwa paranoid Schizophrenia. ni ugonjwa na una dawa wala si swala la kuonea aibu.Alikiba hajiamin kabsa Yan na anahis anahusudiwa na team diamond ndo mana kila akimuon team mond Hana Aman anahis figisu ndo maan Hana maendeleo ya Sanaa na uchum pia
Meneja uchwaraWewe Meneja,... Hakikisha unaongea kila siku Kabla ya huyo mtoto hajaongea,
Miziki yenyewe yakiuni swala wapi na wapi isije ikawa brown alizani gaidi wapapangua vyombo alivyo panga kiba wakitafuta milipukoEti alianza kuswali kabla ya kupanda stejini ndio maana wanyamwezi wakaona anazingua.
Wamarekani waliisi gaidiKiba anapenda kuzingua madesa, watu wamemlipa hela akaimbe, yeye anaenda kuwaswalia. Kama wangemtaka Shehe si wangemualika Kipozeo.