A
Anonymous
Guest
Uongozi wa CBE unapaswa kusimamia na kuhakikisha wafanyakazi wanafuata kanuni za maadili na weledi katika utoaji wa huduma. Kumekuwa na malalamiko kuhusu baadhi ya wafanyakazi kuonyesha jeuri katika nyakati mbalimbali wanapohitajika kuwahudumia wanafunzi.
Aidha, uongozi unapaswa kushirikiana kwa karibu na taasisi zinazohusiana na huduma za chuo, zikiwemo NHIF na HESLB, ili kuhakikisha kunakuwa na uratibu mzuri wa huduma na kuweka mazingira yanayowawezesha wanafunzi kuendelea na masomo yao kwa utulivu na katika hali inayostahili.