uongozi wa channel five...wafunguka wasema kipindi cha album cha lady jay dee..kitaendelea kuwepo

uongozi wa channel five...wafunguka wasema kipindi cha album cha lady jay dee..kitaendelea kuwepo

toto zuli

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
265
Reaction score
279
kutokana na sakata na claus kumekuwepo na uzushi baadhi ya blogs kuwa channel five hawatarusha pia kipindi cha
lady jay dee..na kutopigwa nyimbo zake...katika kituo hiki....

leo mkurugenzi wa redio one,chanel 5,capital redio ndugu joyce mahavile amesema kipindi cha lady jay dee kitaendelea kuwepo wao hawafungamani...na yoyote....stesheni yao ipo kwa ajili ya kusaidia watu...kwa hiyo amewatoa hofu
mashabiki kuwa nyimbo za lady jay dee wataendelea kupiga na kipindi cha albamu ya lady jay dee kitakuwepo

source;chanel five...
 
huo uzushi ulikuwa unaenezwa na kin a ruge..
 
tutajie blogs hizo ili tuwafuate hukohuko! Wanataka kumvurugia hata hicho kidogo alichonacho? Shame on them
 
Ruge ni Shetani. sura na roho yake imbaya inamplekea AHERA bila kulipia nauli
 
Uhuru na matumizi ya vyombo vya habari kamwe hauwezi kuwekwa mikononi mwa wapuuzi wachache wanaotumia kigezo cha "CHOMBO BINAFSI" kukandamiza mtu aliyokinyume na matakwa yao
 
Back
Top Bottom