OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mwenyekiti wa Chairman Mh. Tundu Lissu ni kiongozi wa chama aliyebeba maono ya wengi humu JamiiForums. Ni maono ya kuiona Tanzania ikipiga hatua. Tofauti na kiongozi wengi wa serikali na CCM, Tundu Lissu amekuwa kiongozi asiyeogopa kujadiliana na kuhojiana na yeyote popote.
Kwa hiyo, tunaomba uongozi wa JamiiForums Maxence Melo kumuomba Tundu Lissu afanye kikao nasi hapa Jamiiforums. Tunayo mengi ya kumshauri, kumhoji na kumtia moyo. Tunataka kumpa maoni yetu juu ya No No reforms No Election.
Mh Lissu ni member humu JamiiForums, tunaweza kuweka utaratibu mzuri wa kujadili kwa utulivu. Lipo Jukwaa la Great Thinker ambalo anaweza kulitumia kujadili huku akipokea maswali na maoni kutoka Jukwaa la Siasa na Jukwaa la Great Thinkers.
Naomba kuwasilisha
c.c Moderator
Tundu Lissu
John Mnyika