Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujadili na sisi ni kupoteza muda? Wewe kuandika hapa ni kupoteza muda? Nimeshauri namna bora ya kujadiliana naye hasa kwa kutumia Jukwaa la Great ThinkersSiungi mkono.
Lissu aje kupoteza muda hapa kupoteza na akina Tlaatlaah, Pascal, et al., kwa manufaa gani badala ya kushughulikia mikakati ya kuwahusisha wananchi huko mitaani na kwingineko kuwahimiza kuikomboa nchi yao?
Hapa umekuwa 'specific'.Jukwaa la Great Thinkers
Ulisema huoni faida kwa kuwa kuna members wataleta fujo. Kutumika Jukwaa la Great Thinker ni namna bora ya kuthibiti fujo. Moderator wanajua, hata kipindi fulani tukifanya hivyo na Zitto na tulienda vizuri. Jukwaa la GT sio kila mtu ana access, tupo Great Thinkers wachache tu kule 😂😂Hapa umekuwa 'specific'.
Mimi sijawahi kufika huko, lakini najuwa JF, Siasa; ndiyo maana sioni sababu au faida, na hata 'technically' inavyo weza kuwa jambo la tija kwa kiongozi kama yeye kuja hapa.
Elewa ninacho zungumzia na mapendekezo ninayo wasilisha kama mbadala.
Clubhouse na Jambo TV hajapata airtime ya kutisha mkaona mumlete na humu. Mshaurini asije akakimbia maana sio wote humu ni nyumbu. Wengine tuna free thinking!Mwenyekiti wa Chairman Mh. Tundu Lissu ni kiongozi wa chama aliyebeba maono ya wengi humu JamiiForums. Ni maono ya kuiona Tanzania ikipiga hatua. Tofauti na kiongozi wengi wa serikali na CCM, Tundu Lissu amekuwa kiongozi asiyeogopa kujadiliana na kuhojiana na yeyote popote.
Kwa hiyo, tunaomba uongozi wa JamiiForums Maxence Melo kumuomba Tundu Lissu afanye kikao nasi hapa Jamiiforums. Tunayo mengi ya kumshauri, kumhoji na kumtia moyo. Tunataka kumpa maoni yetu juu ya No No reforms No Election.
Mh Lissu ni member humu JamiiForums, tunaweza kuweka utaratibu mzuri wa kujadili kwa utulivu. Lipo Jukwaa la Great Thinker ambalo anaweza kulitumia kujadili huku akipokea maswali na maoni kutoka Jukwaa la Siasa na Jukwaa la Great Thinkers.
Naomba kuwasilisha
c.c Moderator
Tundu Lissu
John Mnyika
Naunga mkono hoja.Mwenyekiti wa Chairman Mh. Tundu Lissu ni kiongozi wa chama aliyebeba maono ya wengi humu JamiiForums. Ni maono ya kuiona Tanzania ikipiga hatua. Tofauti na kiongozi wengi wa serikali na CCM, Tundu Lissu amekuwa kiongozi asiyeogopa kujadiliana na kuhojiana na yeyote popote.
Kwa hiyo, tunaomba uongozi wa JamiiForums Maxence Melo kumuomba Tundu Lissu afanye kikao nasi hapa Jamiiforums. Tunayo mengi ya kumshauri, kumhoji na kumtia moyo. Tunataka kumpa maoni yetu juu ya No No reforms No Election.
Mh Lissu ni member humu JamiiForums, tunaweza kuweka utaratibu mzuri wa kujadili kwa utulivu. Lipo Jukwaa la Great Thinker ambalo anaweza kulitumia kujadili huku akipokea maswali na maoni kutoka Jukwaa la Siasa na Jukwaa la Great Thinkers.
Naomba kuwasilisha
c.c Moderator
Tundu Lissu
John Mnyika
Tatizo lako unaleta uSimba na YangaKama ni points wewe ungekua senior member🏃♀️
Una akiliMwenyekiti wa Chairman Mh. Tundu Lissu ni kiongozi wa chama aliyebeba maono ya wengi humu JamiiForums. Ni maono ya kuiona Tanzania ikipiga hatua. Tofauti na kiongozi wengi wa serikali na CCM, Tundu Lissu amekuwa kiongozi asiyeogopa kujadiliana na kuhojiana na yeyote popote.
Kwa hiyo, tunaomba uongozi wa JamiiForums Maxence Melo kumuomba Tundu Lissu afanye kikao nasi hapa Jamiiforums. Tunayo mengi ya kumshauri, kumhoji na kumtia moyo. Tunataka kumpa maoni yetu juu ya No No reforms No Election.
Mh Lissu ni member humu JamiiForums, tunaweza kuweka utaratibu mzuri wa kujadili kwa utulivu. Lipo Jukwaa la Great Thinker ambalo anaweza kulitumia kujadili huku akipokea maswali na maoni kutoka Jukwaa la Siasa na Jukwaa la Great Thinkers.
Naomba kuwasilisha
c.c Moderator
Tundu Lissu
John Mnyika
Mimi siingii huko, siyo kwa sabau siwezi. Nilipo soma pendekezo lako nilijuwa una maana ya JF Siasa.Ulisema huoni faida kwa kuwa kuna members wataleta fujo. Kutumika Jukwaa la Great Thinker ni namna bora ya kuthibiti fujo. Moderator wanajua, hata kipindi fulani tukifanya hivyo na Zitto na tulienda vizuri. Jukwaa la GT sio kila mtu ana access, tupo Greath Thinkers wachache tu kule. Jwa hiyo kutakuwa na threads mbili, Jukwaa la Siasa na yeye atajibu kupitia GTs