nzahaksm
Member
- Dec 2, 2018
- 17
- 31
Kuna kitu kinanishangaza kwenye utaratibu unaotumika kushusha na kupakia abiria na vyombo vya usafiri pale kivukoni feli.
Napenda utaratibu unaotumika wa kuanza kupakia magari kwanza na vyombo vingine vya usafiri kama baiskeli na pikipiki.
Lakini shida yangu linapokuja swala la kushusha hapa ndo changamoto inapokuja. Utaratibu ni mbovu wanashuka abiria pamoja na vyombo vyote vya usafiri bila kufata utaratibu.
Leo gati ilikuwa inateleza hivyo kupelekea watu kuwa makini pindi waingiapo lakini najiuliza hii haiwezi kupelekea magari kuteleza pia na yakarudi nyuma kuwavaa abiria na kusababisha maafa makubwa?
Kuna muda unashuka inabid kuangalia gari iliyoko nyuma yako nayo inashuka isije ikateleza au kufeli break ikakuvaa .
Kwanini vyombo vya usafiri vyote wasisubiri abiria wote tushuke kama tunavyowaacha wao waingie kwanza na vyombo vyao?
Kuna siku tutakuja kulijadili hilibaada ya kuletea maafa ndipo tuangalie solution.