mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Nachukua nafasi hii kuushangaa sana uongozi wa Klabu ya Simba kuwa ndio chanzo cha timu kufanya vibaya.Klabu ya Simba ilisajili makocha wawili yaani kocha mkuu na msaidizi iweje leo timu iwe inasafiri bila kocha msaidizi?
Kwanini kocha msaidizi anaachwa? Amefanya kosa gani lisilomalizika akaendelea na majukumu yake?
Kwa taarifa yenu wachezaji wamekwisha gawanyika na endepo hamtamaliza mgogoro uliopo basi timu itaendelea kufanya vibaya kumbukeni huyo kocha mkuu amekuja amemkuta kocha msaidizi akiwa na timu hivyo sio sahihi kwa uongozi kumwamini sana kocha mkuu ambaye ana muda mfupi na wachezaji kuliko Masoud Juma.