kimarabucha
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 791
- 621
Ina Maana Ajib ana akili na ni mjanja kuliko Simba wote?UONGOZI wa Klabu ya Simba mnapaswa kuwa makini na WACHEZAJI wenu kwani Klabu ya Yanga ina mtumia Mchezaji wake Ibrahimu Ajibu kuwarubuni WACHEZAJI wenu wajiunge na Yanga.
Umechanganyikiwa wewe, inamaana wachezaji wa Simba hawajitambui kiasi cha kuweza kurubuniwa na Ajibu? Uwatake radhi wachezajiUONGOZI wa Klabu ya Simba mnapaswa kuwa makini na WACHEZAJI wenu kwani Klabu ya Yanga ina mtumia Mchezaji wake Ibrahimu Ajibu kuwarubuni WACHEZAJI wenu wajiunge na Yanga.
Kwani mchezaji wa Yanga alimrubuni Ajib kwenda Yanga.UONGOZI wa Klabu ya Simba mnapaswa kuwa makini na WACHEZAJI wenu kwani Klabu ya Yanga ina mtumia Mchezaji wake Ibrahimu Ajibu kuwarubuni WACHEZAJI wenu wajiunge na Yanga.
Sasa kama Ajibu alikuwa na maisha magum msimbazi lakin kajiunga Yanga anafurahia maisha je inahitaji nini tena ili wachezaji wa Simba wapende kuchezea Yanga?
mkuu muda utasema tenaHAWAJIFUNZI TU KUNA WAKATI YANGA ILIKUWA INAITWA SIMBA B WAKAANZA KULALAMIKA KUWA MAMLUKI NI WENGI,WALIMCHUKUA YONDANI,KASEJA,OKWI,BARTHEZ,DEO MUNISHI TUKAWA TUNAWAFUNGA KILA MECHI WAKASEMA WANAHUJUMIWA.MSIVYO NA KUMBUKUMBU MNATAKA KURUDIA KOSA!
baadaye msilalamike tukiwafunga kuwa mamluki ya samba yanawafungisha.mbona wasahaulifu sana nyieHakuna mtu anakimbia shibe,afate Njaa
Mchezaji yeyote anahitaji nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza! Siku hizi mpira wa mahaba umekwisha! Wachezaji kutoka na kuingia hizi timu walianza zamani! Kina Steven Names, Lunyamila, Kipese, Kizota, Chinga one, Yusufu Macho na wengineo walitoka Yanga enzi hizo wakaenda Simba! Itakuwa ajabu gani Mkude, Ndemla au Mo kwenda Yanga! Nyie si mnaye Niyonzima? unajua alikuwa timu gani kabla ya kwenda simba! 'This is football brother' yote yanawezekana! Kama mchezaji hatumiki ipasavyo mwacheni aondoke! Hizo porojo za sijui hujuma zinatoka kwa mashabiki maandazi kama nyie!baadaye msilalamike tukiwafunga kuwa mamluki ya samba yanawafungisha.mbona wasahaulifu sana nyie