Uongozi wa Magufuli - GDP

Uongozi wa Magufuli - GDP

vulcan

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,742
Reaction score
2,459
Magufuli ameirudisha nyuma Tanzania...
Tazama...

Here's a breakdown of the comparative GDP figures

2009.............(Tanzania $29B) (Kenya $37B)

2010.............(Tanzania $32B) (Kenya $40B)

2011.............(Tanzania $34B) (Kenya $41B)

2012.............(Tanzania $39B) (Kenya $50B)

2013.............(Tanzania $45B) (Kenya $55B)

2014.............(Tanzania $49B) (Kenya $61B)

Hadi hapo mchezo ni ule wa nipe nikupe. Kenya na Tz ana kwa ana.

But then MAGUFULI HAPPENED. AND THE GAME CHANGED.

2015.............(Tanzania $47B) (Kenya $64B)

2016.............(Tanzania $49B) (Kenya $69B)

2017.............(Tanzania $53B) (Kenya $78B)

2018.............(Tanzania $58B) (Kenya $87B)

2019.............(Tanzania $62B) (Kenya $99B)
 
20200730_215558.jpg
 
Ndiyo si tunaona nchi ina njaa kila kona mpaka watu wanapika mawe,mpaka misaada ya chakula inaletwa,ameshindwa kucontrol korona,madeni yamekuwa mengi,nchi haiwezi kujijengea miundombinu yake mpaka ikope na SGR imeishia porini.na pia ardhi kubwa ameimilikisha kwa watu wachache na nchi imejaa rushwa.
 
🤣..Akirudi unitag!
 
GDP ndo takataka gani!!??...huku tz kuna watu wenye uchumi wa kati 4 times kenya..usizungumzie dollar millionaire,au billionaire maana huko utatoa tu machozi..
 
Per capita tooo
Jamaa tangu aingie ameongeza only $80 juzi unajisifu ameipeleka TZ middle income country
But Tanzania is true middle income country kwa sababu watu hawafi na njaa,umasikini unazidi kupungua,nchi yenye matajiri wengi afrika mashariki,miradi mingi mikubwa na mengine inatekelezwa kwa fedha za ndani,huduma za jamii bora kuliko nchi yoyote afrika mashariki mfano maji,huduma za afya bora,hospital bora zinajengwa kila sehemu,miundo mbinu zinajengwa kila sehemu kwa viwango vya juu mfano stendi.
 
Noma sana kwa kweli, ina maana tangia 2015 tumewpiga double double..............
 
There is no wonder why your GDP is bigger than what you can handle..
IMG_20200717_225506.jpg
 
Jameni Watanzania wanakwama wapi, mbona tunawapiga kihivi, dah hadi inatia huruma.
Alafu watasema sisi ni vibaraka vya mabeberu ilhali wamebarikiwa na madini vyote na sisi hatuna.Kenya siku zote itakua juuuu
 
Magufuli ameirudisha nyuma Tanzania...
Tazama...

Here's a breakdown of the comparative GDP figures

2009.............(Tanzania $29B) (Kenya $37B)

2010.............(Tanzania $32B) (Kenya $40B)

2011.............(Tanzania $34B) (Kenya $41B)

2012.............(Tanzania $39B) (Kenya $50B)

2013.............(Tanzania $45B) (Kenya $55B)

2014.............(Tanzania $49B) (Kenya $61B)

Hadi hapo mchezo ni ule wa nipe nikupe. Kenya na Tz ana kwa ana.

But then MAGUFULI HAPPENED. AND THE GAME CHANGED.

2015.............(Tanzania $47B) (Kenya $64B)

2016.............(Tanzania $49B) (Kenya $69B)

2017.............(Tanzania $53B) (Kenya $78B)

2018.............(Tanzania $58B) (Kenya $87B)

2019.............(Tanzania $62B) (Kenya $99B)

Usiwaletee data za IMF hapa.
Wanaamini IMF ifikapo kwa internet connection kwenye inaonyesha Kenya iko nyuma.

Zingine zote ni GDP za karatasi za mabeberu.
 
Ama kwa kweli kuna kasoro sehemu, tatizo wataalam wa Tanzania wote chali, siku hizi kila mmoja anaimba mapambio ya misifa, hakuna anayediriki kuhoji masuala ya uchumi na kila anayejitutumua anapondwa kupita maelezo. Bongo nimeishi, japo ni wazembe lakini sio kwa kiasi hiki cha uchumi kuganda miaka mitano yote, yaani tunaelekea kuwa mara mbili yao kihvi hivi tu.

Ifike mahali awamu hii ya tano wakubali kuwaskliza wachumi wao, la sivyo hatamu ya pili itaisha kihivi tu.
 
Back
Top Bottom