Uongozi wa Simba acheni kushupaza shingo

Uongozi wa Simba acheni kushupaza shingo

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
16,695
Reaction score
20,633
Hii team inahitaji wachezaji kama 8 wa uhakika.

Nilishangaa jana iliponunua Kocha mpya.

Kanoute, Mzamiru, na wengine wengi hao wote ni Average player's.

Viongozi kama hamna pesa za usajiri semeni wadau wa soka tuwachangie.
 
Hii team inahitaji wachezaji kama 8 wa uhakika

Nilishangaa jana iliponunua kocha mpya

Kanoute,mzamiru,na wengine wengi hao wote ni Average player's

Viongozi kama hamna pesa za usajiri semeni wadau wa soka tuwachangie
Wewe acha porojo maskini mkubwa wa fikra tena umbwa Koko kabisa..
Yaani uchangie timu ya mwamedi wewe kama nani???

Simba gufu moya[emoji123][emoji123][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Guvu moya kutokea kwenye kile kideo kilichorekodiwa na ali kamwe mkicheza uchi?
 
Hii team inahitaji wachezaji kama 8 wa uhakika

Nilishangaa jana iliponunua kocha mpya

Kanoute,mzamiru,na wengine wengi hao wote ni Average player's

Viongozi kama hamna pesa za usajiri semeni wadau wa soka tuwachangie
Huna akili
 
Yani tim za tanzania zikifungwa mech moja tu baaaasi mashabik nyuzi zinanza
 
Guvu moya kutokea kwenye kile kideo kilichorekodiwa na ali kamwe mkicheza uchi?
Pole sana naskia Mlandege wamewachomeka cha nguruwe mmebaki kulialia tu kama yatima[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hatuna shida na bonanza ambalo wacheza uchi na wafuga misukule wanashiriki
Sasa mtachukua kombe gani lingine[emoji848][emoji848]?? Au kombe la caf [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuwafunga wacheza uchi fc ni kombe tosha
Ila Dunia kweli inazunguka jamani. Leo hii furaha yenu imetoweka kabisaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yaani saivi mnasema furaha yenu imebakia siku mkibahatika kumfunga Yanga...
Mungu ni fundi aiseee
 
Hii team inahitaji wachezaji kama 8 wa uhakika

Nilishangaa jana iliponunua kocha mpya

Kanoute,mzamiru,na wengine wengi hao wote ni Average player's

Viongozi kama hamna pesa za usajiri semeni wadau wa soka tuwachangie
Yaani mbu amchangie binadamu damu?
 
Kama Ningekuwa kwenye maamuzi.
Ningefyeka Wachezaji wafuatao.

1. Peter Banda.

2. Victor Akpan.

3. Dejan Dejevic Mzungu.

4.Mohamed Ottara.

5. Sadio Kanute.

6. Emarson Okwa.

7.Okra na Onyango wajihadhari.
 
Back
Top Bottom