mpenda arage
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 1,677
- 3,806
Utafikiri huwa unachangia chochote.Hii team inahitaji wachezaji kama 8 wa uhakika
Nilishangaa jana iliponunua kocha mpya
Kanoute,mzamiru,na wengine wengi hao wote ni Average player's
Viongozi kama hamna pesa za usajiri semeni wadau wa soka tuwachangie