Uongozi wa Simba acheni kushupaza shingo

Hii team inahitaji wachezaji kama 8 wa uhakika

Nilishangaa jana iliponunua kocha mpya

Kanoute,mzamiru,na wengine wengi hao wote ni Average player's

Viongozi kama hamna pesa za usajiri semeni wadau wa soka tuwachangie
Utafikiri huwa unachangia chochote.
 
Hii team inahitaji wachezaji kama 8 wa uhakika

Nilishangaa jana iliponunua kocha mpya

Kanoute,mzamiru,na wengine wengi hao wote ni Average player's

Viongozi kama hamna pesa za usajiri semeni wadau wa soka tuwachangie
Timu imetoka kumpiga Prisons wiki moja tu iliyopita, goli 7-1! Halafu unasema ina average players!!

Hebu fafanua vizuri ili mashabiki wenzako wakuelewe. Timu imemtambulisha kocha wa Kibrazil! Ni wakati sasa wa mashabiki kusubiria Pira Brazil! Pira Samba.

Yaani Kibu Dennis atageuka kuwa Neymar Jr, au Vinicius Jr, John Bocco atakuwa Ronaldo De Lima, Joash Onyango atakuwa Thiago Silva, Jonas Mkude atakuwa ndiyo Carsemilo, Aishi Manula atakuwa Alisson Becker,nk.
 
Guvu moya kutokea kwenye kile kideo kilichorekodiwa na ali kamwe mkicheza uchi?
Watu wanapakuana mavi huku wanaimba eeeeeh mayeleeeee eeeehh mayeleeeeee
 
wanaacha kusajili wachezaji wanaleta janjajanja,timu aina kiungo mkata umeme no.6,aina no.9,aina beki mbadala wa kati,wa kulia na kushoto alafu waneleta kocha mpya wakati Mgunda ndo kaifikisha timu group stage caf tena sio kinyonge(kwa agragate)kaipeleka kibabe kwa ushindi nje ndani last match.
 
Kama Ningekuwa kwenye maamuzi.
Ningefyeka Wachezaji wafuatao.

1. Peter Banda.

2. Victor Akpan.

3. Dejan Dejevic Mzungu.

4.Mohamed Ottara.

5. Sadio Kanute.

6. Emarson Okwa.

7.Okra na Onyango wajihadhari.
Ww hujui mpira bali unaongozwa na mihimko mtu anaye jua mpila hawezi kushauri timu imuache kiungo kama kanuti.
 
Simba Kwa kikosi iki haiwezi mfunga yanga tuache uongo
Kwani uliqmbiwa simba inatengeneza timu ya kumkamia utopolo basi? Simba focus yetu tuchukue kombe la CAFCL panapo majaliwa nyie kazaneni na hayo masantula yenu
 
Sasa Simba nani anazo akili? Maana tunajua Yanga wapo wawili, je Simba? Rage alisema wanasimba wote ni mbu x 3
Hao wawili wenyez kalaghabaho zipo nyuzi humu zikimsema huyo mmoja mwenye mahaba niue n utopolo mpaka anaharibu mpira
Ila aliekuwa kocha wenu luc eymael alikuwa sahihi aliposema yanga wengi ni manyani mambwa mnabweka bweka hovyo hamna akili
 
Ww kilaza kweli sasa unaniuliza kuhusu kucheza yanga na Azam kwani kanouti ni mchezaji wa hizo timu?
Mkuu usihangaike na hilo lijinga halijitambui, anatolea mfano AZAM na yanga eti Kanoute hawezi kucheza, huu ni upuuzi wa hali ya juu.

Kanoute ni kiungo mzuri anayezuia na kushambulia na kubalance timu vizuri.
 
Hawezi pata number ata singida uyo kiungo ambae ata turn zinamshinda
Hawezi kupata namba singida kwa sababu sio mchezaji wa singida bali ni mchezaji wa simba kwa hiyo punguza ujinga.
 
Ivi mpira unaangalizia mkundun* kanoute ni mchezaji wa kutambia?
Kwani wewe mpira huwa unaangalia wapi avic town ukiwa unacheza uchi mbele ya msukule kambole?
 
Umethibitisha ulivyo punguwah mkuu sio kila anae iponda.simba ni yanga Mimi shabiki wa Azam niliekuwa simba zamani kwaiyo naongea uhalisia
Simba hatuna plastic fan kama wewe kacheze unakochezaga wewe ni uto
 
Niko pale!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…