bananga
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 659
- 333
kwa hiyo hao sio simba U20 mkuu, na ni ya msimu huu sio mwaka janaNaona mnahangaika ionekane sisi ni bakuli kama Yanga. Hiyo picha ni madogo wa umishumita mwaka jana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hiyo hao sio simba U20 mkuu, na ni ya msimu huu sio mwaka janaNaona mnahangaika ionekane sisi ni bakuli kama Yanga. Hiyo picha ni madogo wa umishumita mwaka jana
Huu uongozi wetu ukiwasikia wanavyojitutumua kwenye media utawajua wana mipango thabiti kweli kumbe janja tu
View attachment 1134184
Wachezaji wa Simba wakilala chumba kimoja watu zaidi ya ishirini na kula kwa mama ntilie
Hii ndio Simba ya kisasa tujaondanganywa na yule bilionea?
HUU UCHOCHEZI MKUUU.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] HIZO PICHA SIYO ZA UMMISETA?
HUU UCHOCHEZI MKUUU.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] HIZO PICHA SIYO ZA UMMISETA?