Uongozi wa Simba kuna haja ya kubadili kit supplier

Uongozi wa Simba kuna haja ya kubadili kit supplier

bullar

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
9,530
Reaction score
20,988
Moja kwa moja kwenye topic, Napenda kuwashauri viongozi wa Simba kuachana na Vunja bei amekwisha proof failure tangu day one, kila msimu anakuja na excuse zisizo na msingi, imagine leo tarehe 15 jezi ya mashindano ya kimataifa ambayo ali ahidi itakua tayari ipo sokoni bado haija ingia sokoni

Leo nmesikia Ahmed Ali anasema mzigo ume kwama kutoka China wanasahau walituambia sasa hivi jezi za Simba zinatoka Europe sio China, kwani Yanga wao jezi zao wanawezaje kufanikisha bila kuchelewa? Mechi inachezwa tarehe 18 mpaka sasa jezi haipo sokoni! Inafikirisha sana
 
Screenshot_20230215_103141_Instagram.jpg


Mnasuasua kila siku,unaweza ukakuta jezi zenyewe zipo kwenye mifuko mitatu ya shangazi kaja.

Badae muanze kugombania then mtuambie SOLD OUT kama ilivyokuwa mwanzoni mwa msimu huu.
 
Vaeni jezi zozote za Simba hata zile za Vodacom au bia ya Kilimanjaro, shida iko wapi? Kuna zile "Visit Tanzania" za mwaka jana ambazo hazina tofauti sana na hizi mpya, nadhani hata madukani bado zipo.
 
Vaeni jezi zozote za Simba hata zile za Vodacom au bia ya Kilimanjaro, shida iko wapi? Kuna zile "Visit Tanzania" za mwaka jana ambazo hazina tofauti sana na hizi mpya, nadhani hata madukani bado zipo.
Kulikua na haja gani ya kuzindua jezi mpya?
 
Kuna kitu nimekiona kwa Simba sasa hivi vingi vinafanyika Kwa mazoea na ndio sababu hiyo timu sidhani kama utafanya vyema
 
Huyu Vunjabei kuna kitu hakiko sawa upande wake.
Hili swala la Jersey alilijua toka mwaka jana ila aliamua kutokufanya kwa makusudi
 
Nakubaliana na mleta mada. Huwezi kuwa unauza mitumba tu from nowhere unavalisha klabu kubwa kama Simba.

Kamati ya tathmini ya Simba iliangalia tu bid price bila kuzingatia uwezo wa mtu.
Ndio jamaa anakosea ila usisahau Silent ocean ni Pete na kidole na GSM na mzee wako mstafu ni GSM damu usitegemee Ata siku moja jezi za yanga eti zitakwama njiani Vunja bei anakomaa mwenyewe Kwa Kila tu.
 
Back
Top Bottom