Uongozi wa Simba kuna haja ya kubadili kit supplier

Ndio jamaa anakosea ila usisahau Silent ocean ni Pete na kidole na GSM na mzee wako mstafu ni GSM damu usitegemee Ata siku moja jezi za yanga eti zitakwama njiani Vunja bei anakomaa mwenyewe Kwa Kila tu.
Excuse ya kitoto kabisa
 
Moja kwa moja kwenye topic, Napenda kuwashauri viongozi wa Simba kuachana na Vunja bei amekwisha proof failure tangu day one, kila msimu anakuja na excuse zisizo na msingi, imagine leo tarehe 15 jezi ya mashindano ya kimataifa ambayo ali ahidi itakua tayari ipo sokoni bado haija ingia sokoni

Leo nmesikia Ahmed Ali anasema mzigo ume kwama kutoka China wanasahau walituambia sasa hivi jezi za Simba zinatoka Europe sio China, kwani Yanga wao jezi zao wanawezaje kufanikisha bila kuchelewa? Mechi inachezwa tarehe 18 mpaka sasa jezi haipo sokoni! Inafikirisha sana
huyo vunja bei simkubali from day one simba sc kumpa tenda ni kama tumejichimbia kaburi wenyewe
 
Design - poor
Logistics - poor

Popote alipo akareport kituo cha police kilicho jilan yake ndan ya masaa mawili toka sasa
 
Moja kwa moja kwenye topic, Napenda kuwashauri viongozi wa Simba kuachana na Vunja bei amekwisha proof failure tangu day one, kila msimu anakuja na excuse zisizo na msingi, imagine leo tarehe 15 jezi ya mashindano ya kimataifa ambayo ali ahidi itakua tayari ipo sokoni bado haija ingia sokoni

Leo nmesikia Ahmed Ali anasema mzigo ume kwama kutoka China wanasahau walituambia sasa hivi jezi za Simba zinatoka Europe sio China, kwani Yanga wao jezi zao wanawezaje kufanikisha bila kuchelewa? Mechi inachezwa tarehe 18 mpaka sasa jezi haipo sokoni! Inafikirisha sana
Simba ya wazaramo, waluguru, wandegereko, wakwele na watanga hainihusu, huo ujinga wa kizamani sina Raja ntawapa X2&2+ kwa Laki sikosi elfu70 ya Kutulia Bambalaga kwanzia saa4 ucku,
 
Moja kwa moja kwenye topic, Napenda kuwashauri viongozi wa Simba kuachana na Vunja bei amekwisha proof failure tangu day one, kila msimu anakuja na excuse zisizo na msingi, imagine leo tarehe 15 jezi ya mashindano ya kimataifa ambayo ali ahidi itakua tayari ipo sokoni bado haija ingia sokoni

Leo nmesikia Ahmed Ali anasema mzigo ume kwama kutoka China wanasahau walituambia sasa hivi jezi za Simba zinatoka Europe sio China, kwani Yanga wao jezi zao wanawezaje kufanikisha bila kuchelewa? Mechi inachezwa tarehe 18 mpaka sasa jezi haipo sokoni! Inafikirisha sana
Simba haina ujanja wa kutengeneza Jersey EU. Simba makolo wataishia kuprint midabwada yao kwa Mchina
 
Ilishaongelewa alipopewa tenda tu,hamkumbuki?kuwa antumika tu na mwenye umiliki ?msimlaumu
 
Jezi zinapigwa pasi Ethiopia acheni kelele Simba ni timu kubwa hawawezi kuvaa jezi zisizo pigwa basi.
 
Kama kuna shule ilikufundisha kuna tarakimu inaandikwa 5,00 basi umepoteza muda, ukajiandikishe upya mwakani
Hujui kama kuna nchi wanagawa kwa namba mbili. Usikremu mkuu
 
Kuna mtu kaiona jezi ya Ethiopia? Hii timu tumepigwa kuanzia jezi, wachezaji mapka kocha
 
Bila shaka mzigo usha toka Ethiopia
 
Back
Top Bottom