Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Excuse ya kitoto kabisaNdio jamaa anakosea ila usisahau Silent ocean ni Pete na kidole na GSM na mzee wako mstafu ni GSM damu usitegemee Ata siku moja jezi za yanga eti zitakwama njiani Vunja bei anakomaa mwenyewe Kwa Kila tu.
huyo vunja bei simkubali from day one simba sc kumpa tenda ni kama tumejichimbia kaburi wenyeweMoja kwa moja kwenye topic, Napenda kuwashauri viongozi wa Simba kuachana na Vunja bei amekwisha proof failure tangu day one, kila msimu anakuja na excuse zisizo na msingi, imagine leo tarehe 15 jezi ya mashindano ya kimataifa ambayo ali ahidi itakua tayari ipo sokoni bado haija ingia sokoni
Leo nmesikia Ahmed Ali anasema mzigo ume kwama kutoka China wanasahau walituambia sasa hivi jezi za Simba zinatoka Europe sio China, kwani Yanga wao jezi zao wanawezaje kufanikisha bila kuchelewa? Mechi inachezwa tarehe 18 mpaka sasa jezi haipo sokoni! Inafikirisha sana
Simba ya wazaramo, waluguru, wandegereko, wakwele na watanga hainihusu, huo ujinga wa kizamani sina Raja ntawapa X2&2+ kwa Laki sikosi elfu70 ya Kutulia Bambalaga kwanzia saa4 ucku,Moja kwa moja kwenye topic, Napenda kuwashauri viongozi wa Simba kuachana na Vunja bei amekwisha proof failure tangu day one, kila msimu anakuja na excuse zisizo na msingi, imagine leo tarehe 15 jezi ya mashindano ya kimataifa ambayo ali ahidi itakua tayari ipo sokoni bado haija ingia sokoni
Leo nmesikia Ahmed Ali anasema mzigo ume kwama kutoka China wanasahau walituambia sasa hivi jezi za Simba zinatoka Europe sio China, kwani Yanga wao jezi zao wanawezaje kufanikisha bila kuchelewa? Mechi inachezwa tarehe 18 mpaka sasa jezi haipo sokoni! Inafikirisha sana
Hyo ndio shilingi ngapi?Are you serious? Ingekua hivyo asingeuza Mo cola ya TSH 5,00/=
Hahaaa usijifanye hujaelewa bhanaHyo ndio shilingi ngapi?
Are you serious? Ingekua hivyo asingeuza Mo cola ya TSH 5,00/=
Kama kuna shule ilikufundisha kuna tarakimu inaandikwa 5,00 basi umepoteza muda, ukajiandikishe upya mwakaniKama haukuenda shule usisumbe watu humu, ni shida zako
Simba haina ujanja wa kutengeneza Jersey EU. Simba makolo wataishia kuprint midabwada yao kwa MchinaMoja kwa moja kwenye topic, Napenda kuwashauri viongozi wa Simba kuachana na Vunja bei amekwisha proof failure tangu day one, kila msimu anakuja na excuse zisizo na msingi, imagine leo tarehe 15 jezi ya mashindano ya kimataifa ambayo ali ahidi itakua tayari ipo sokoni bado haija ingia sokoni
Leo nmesikia Ahmed Ali anasema mzigo ume kwama kutoka China wanasahau walituambia sasa hivi jezi za Simba zinatoka Europe sio China, kwani Yanga wao jezi zao wanawezaje kufanikisha bila kuchelewa? Mechi inachezwa tarehe 18 mpaka sasa jezi haipo sokoni! Inafikirisha sana
Hujui kama kuna nchi wanagawa kwa namba mbili. Usikremu mkuuKama kuna shule ilikufundisha kuna tarakimu inaandikwa 5,00 basi umepoteza muda, ukajiandikishe upya mwakani
Ziorodheshe nchi hizo ili ione kama na Tanzania ni mojawapoHujui kama kuna nchi wanagawa kwa namba mbili. Usikremu mkuu
Unadhani kila mtu yupo Tanzania, Japan wanatumia huo mfumoZiorodheshe nchi hizo ili ione kama na Tanzania ni mojawapo