Kulikua na haja gani ya kuzindua jezi mpya?Vaeni jezi zozote za Simba hata zile za Vodacom au bia ya Kilimanjaro, shida iko wapi? Kuna zile "Visit Tanzania" za mwaka jana ambazo hazina tofauti sana na hizi mpya, nadhani hata madukani bado zipo.
Hivi ni miongoni mwa vitu vilimfanya Barbara ajiweke pembeniNakubaliana na mleta mada. Huwezi kuwa unauza mitumba tu from nowhere unavalisha klabu kubwa kama Simba.
Kamati ya tathmini ya Simba iliangalia tu bid price bila kuzingatia uwezo wa mtu.
Ndio jamaa anakosea ila usisahau Silent ocean ni Pete na kidole na GSM na mzee wako mstafu ni GSM damu usitegemee Ata siku moja jezi za yanga eti zitakwama njiani Vunja bei anakomaa mwenyewe Kwa Kila tu.Nakubaliana na mleta mada. Huwezi kuwa unauza mitumba tu from nowhere unavalisha klabu kubwa kama Simba.
Kamati ya tathmini ya Simba iliangalia tu bid price bila kuzingatia uwezo wa mtu.
Kwamba kanjibai hana connection ya kusaidia mzigo ufike harakaNdio jamaa anakosea ila usisahau Silent ocean ni Pete na kidole na GSM na mzee wako mstafu ni GSM damu usitegemee Ata siku moja jezi za yanga eti zitakwama njiani Vunja bei anakomaa mwenyewe Kwa Kila tu.
MoDewji ndio kajificha kwa jina la vunjabei, kwa hiyo hili suala ni kama ngumi ya Ndoige, unashitaki kwa uongozi, halafu uongozi ndio unahusika na Dili loteMoja kwa moja kwenye topic, Napenda kuwashauri viongozi wa Simba kuachana na Vunja bei amekwisha proof failure tangu day one...