Uongozi wa Simba kuweni makini wachezaji wasirubuniwe kuelekea kariakoo darby ya.10.10.2026

Uongozi wa Simba kuweni makini wachezaji wasirubuniwe kuelekea kariakoo darby ya.10.10.2026

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
3,078
Reaction score
5,882
Hapo VIP!
Wanajua Simba sasa hivi inakikosi imara Na hawezi kushinda match.

Sasa kuweni making wachezaji wasinunuliwe Na vijisent wakauza match.Hawa jamaa mnajua wanatembelea upepo wa siasa uliopo kwa sasa madatakani.
Uongozi wa Simba kuweni makini sana
 
Diara boka yao baka mwamnyeto abuya max Mudathir kangwanda zaquan Shalulile
 
Yaani mashabiki wa simba bwana. Mmeanza kutafuta sababu.

Kisa mmemfunga azam mnadhani Yanga mtamuweza!! Poleni sana maana nataka mjiandae kisaikolojia
 
Wao waongee ..ilaa ss pesaa zetu zipo BANK ila mpira unaonekana uwanjaniii.....
 
Back
Top Bottom