Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
Tunawasiwasi na ile match kwasababu baadhi ya wachezaji walicheza chini ya kiwangoKwenye ngao ya jamii alihongwa nani ili mechi ijayo asicheze
NotedYanga atafungwa si chini ya goli 3
Imagine pesa zipo bank na Simba ni ya moto vile..vip pesa zikitolewa bank?Wao waongee ..ilaa ss pesaa zetu zipo BANK ila mpira unaonekana uwanjaniii.....
Zikitolewa bank tunanunua Doumbia wengine watatu!Imagine pesa zipo bank na Simba ni ya moto vile..vip pesa zikitolewa bank?