Sasa leo imekuwaje mmewaleta Aigle Noir kama siyo akili za Kirundi ni nini hasa kimetusukuma kama Simba na Weledi wetu wooote kuleta hayo makapi?Simba sio Namungo au Biashara,kama ulishawai msikia Magori akisema kwenye benchi la ufundi la Simba aachiwi kocha pekee asajili.
mchezaji anaewaniwa na Simba anapita kwenye machujio mengi.alafu yule ni kocha msaidizi tu kocha mkuu bado ni Gomez.
Kaka kumbuka aliempendekeza hitimana kuwa msaidiz ni gomez mwenyewe maana wanajuana walishafanya kazi pamojaInshort kumleta Huyo Hitimana Simba tumerudi nyuma miaka 10.
Kocha ana majungu sana, kule Biashara United timu iliponea chupu chupu kushuka daraja kwa falsafa zake ameondoka leo timu iko Kimataifa.
Akaenda Namungo alichoweza ni kujaza Warundi wenzake 6 akina Nahimana, Bigirimana, Nzigamasabho, Kwizera nk kwa Upendeleo na Ukabila wao timu ikayumba sana, akaingia Morroco Namungo ikaenda Kimataifa.
Akaenda Mtibwa akawavuruga weeeee wameishia kukarbia kushuka daraja msimu huu.
Kwa masikitiko makubwa haka ka Bwana majungu kameletwa Simba. Jumapili kamehojiwa na media kanasema Simba imeuza Wachezaji muhimu wawili Chama na Miq hivyo tusitegemee mambo makubwa kama misimu iliyopita.
Mara paaap kamewapa mchongo Warundi wenzake EAGLE NOIR kuja kucheza gemu ya kirafiki na Simba! Tayari hapa unaona Uongozi wa Simba umeanza kuingizwa kwenye 18 za huyu Mnafiki na Mkabila. Kama kweli angetanguliza weledi mbele tungealika WAGANDA BINGWA WA KAGAME CUP 2021 waje tujipime lkn kwa upuuuzi tumewaleta hao mataptap. Hii siyo dalili njema
Mam...ae zake tusipostuka Mapema Mwakani sajili 3 tutaletewa Warundi waje kula Pensheni pale Msimbazi kama KAZE alivyowafanya UTO kwa FISTON na NTIBA.
Vilabu vikubwa Simba na Yanga hizi sio zama za Makocha Warundi maaana Wanatanguliza UKABILA zaidi ya Weledi.
SIMBA NGUVU MOJA tupaze sauti huyu Mnafiki aondoke zake pindi Da Rossa atakapopata vyeti [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa uandishi huu nani mwenye majungu Kati Yako na Hitimana
Mkuuu hapa umeeleweka, umejibu hojja kwa Hojja lkn Matolaaaaa! Wakati mwingine mpira siyo vyeti si unaona Prof. Naabi anapigwa za usso na wenye Ngumbalu Mkuuu. Matola mtoto wa Msimbazi kitamboooKaka kumbuka aliempendekeza hitimana kuwa msaidiz ni gomez mwenyewe maana wanajuana walishafanya kazi pamoja
Hata wakat Gomez kaja simba ilisemekana Hitimana atakuja kuwa msaidizi... Na Hitimana alihojiwaga akasema amezungumza na Gomez ila anajua Simba tayar wana matola ... Sema Simba wakamchomolea Gomez wakataka aendelee na matola ili matola apate uzoefu
Sasa opportunity imetokea ya issue za lesen za CAF gomez akaomba hitimana aje
pia ingawa Gomez anaendelea kusomea CAF pro licences hata akipata bado matola.hawez kusimama kama.msaidizi sababu kuna taarifa matola kafeli mitihani ya CAF lesen clasa B ambayo ndo sifa ya kuwa msaidizi lugha ya kingereza imemuangusha, mitihani alifanya miez kadhaa nyuma.. So bado hatakuwa na sifa ya kukaa benchi kama.msaidizi
Kama unakumbuka alienda kusoma matola, na hata kocha wa makipa nae aliondoka kama two weeks
So kama.Hitimana atazingua kosa.litakuwa la Gomez kumchekea ila sidhan kama kwa Simba ya Sasa hitimana anaweza aka influence usajili wa wachezaj hata angekuwa yeye kocha mkuu..
Kumbuka Hitimana katoka simba bado kawepo hapa Nchini akizunguka na team za humu ndan tu Simba ingekuwa na shida naye wala wasingempa usaidiz matola toka enzi ya sven
Tp mazembe atakuwepo simba dayCoastal Union is Local Friend Match inacheza Ligi ya VPL ambayo pia tunajiandaa kwayo. Kwa Upande wa International Friend Match ilipaswa tutafute Mshindani ambaye yuko level za Ligi ya CAF CHAMPIONSHIP ili tupate kipimo sahihi. Hatukupaswa kuongozwa na Akili ya Hitimana ambayo imejawa Ukabila wa Kirundi. Haya niambie Aigle Noir inacheza Ligi ipi ya CAF ili iweze kuwa kipimo sahihi kwa Lunyansi???
Usikariri! Sio kila timu ipo tayari muda kualikwa wowote. Mabingwa wa CECAFA, Express ya Uganda, kesho kutwa tu tarehe 17/09/2021 wanaenda Sudan kucheza mechi ya marudiano na El Mereikh, halafu wewe unakimbilia kusema eti waje kwanza Tanzania kucheza mechi ya kirafiki! Wakati mwingine inabidi kuwaachia wenye akili wapange, wengine mbaki kuunga mkono tu mipango....Mara paaap kamewapa mchongo Warundi wenzake EAGLE NOIR kuja kucheza gemu ya kirafiki na Simba! Tayari hapa unaona Uongozi wa Simba umeanza kuingizwa kwenye 18 za huyu Mnafiki na Mkabila. Kama kweli angetanguliza weledi mbele tungealika WAGANDA BINGWA WA KAGAME CUP 2021 ...
Mkuu acha kulalamika kama Utopolo. Timu zote za CAF Champions League zinacheza mechi za raundi ya awali weekend hii kati ya tarehe 17 hadi 19, ukiondoa zile timu vigogo 10 zilizoingia moja kwa moja. Sio rahisi kihivyo kupata timu. Labda nikupe mfano hai. Hivi ingewezekana vipi kuwaomba Rivers United wacheze mechi ya kirafiki na Simba wakati wanawahi kwao kucheza mechi ya pili weekend hii?...Kwa Upande wa International Friend Match ilipaswa tutafute Mshindani ambaye yuko level za Ligi ya CAF CHAMPIONSHIP ili tupate kipimo sahihi. Hatukupaswa kuongozwa na Akili ya Hitimana ambayo imejawa Ukabila wa Kirundi. Haya niambie Aigle Noir inacheza Ligi ipi ya CAF ili iweze kuwa kipimo sahihi kwa Lunyansi???
Labda nikuulize. Simba ikialikwa leo iende ikacheze Misri na Zamalek tarehe 18/09/2021 kwenye mechi ya kirafiki, itaenda? Kwa nini isiende? Jibu hilo ndilo na kwa wengine ni hivyo hivyo. Timu ikikubali mwaliko unashukuru Mungu, maana kwa sasa kila timu na kocha ana programu zakeSasa leo imekuwaje mmewaleta Aigle Noir kama siyo akili za Kirundi ni nini hasa kimetusukuma kama Simba na Weledi wetu wooote kuleta hayo makapi?
Very true Mkuu, Imagine alifika Mtibwa akatoa orodha ya watu kadhaa waondolewe akiwamo Barnabas eeti ndio afanyekazi pale Klabuni. Sasa mtu wa aina hii leo ndio tunamleta Klabuni kwetu. Brand ya Simba Isichezewe ovyo jamani wakati mwingine wacha tutoe nyongo zetu kwa watu Utopolo kama hawa.Ukweli Ni kwamba huyo kocha kwa simba atatulia..pale Kuna wababe watamtuliza..japo anaonekana mjuaji Sana huyu kocha mrundi
Simba hii ni next level.uyo mrundi kocha Gomez ndo alimpendekeza yeye mwenyewe.uo ubinafsi wake uliosema kwa Simba hii hana nafasi,atafanya kazi vizuri ili aijenge vema cv yake,kwakuwa Simba ina ndoto za kufika nusu fainali au fainali.Sasa leo imekuwaje mmewaleta Aigle Noir kama siyo akili za Kirundi ni nini hasa kimetusukuma kama Simba na Weledi wetu wooote kuleta hayo makapi?
Mbona mbademka Sana. Hizi Ni mechi za kocha kupanga tu first 11 yake na kuona atengeneze vipi timu yake. Siyo mechi za wazi za kirafiki km mnavyowaza.Hao Warundi Wanacheza Mashindano gani makubwa? Wanazidiana nini na Azam au Biashara? Simba iko Arusha tumeshindwa kuita timu shindani hapo Kenya Ipo Tusker, Gormahia au Uganda kuna Express? What is Eagle Noir?? Ina nini ambacho KMC hawana? Think Big Mkuu na kama huna mawanda mapana ubongoni siyo kila mada uchangie.
Mkuuu hapa umeeleweka, umejibu hojja kwa Hojja lkn Matolaaaaa! Wakati mwingine mpira siyo vyeti si unaona Prof. Naabi anapigwa za usso na wenye Ngumbalu Mkuuu. Matola mtoto wa Msimbazi kitambooo
Malengo ya hizo mechi siyo haya mnayowaza nyie. Km Ni mechi halisi ya kirafiki ni tarehe 19 Sept. Hizi Ni za kocha kupanga first 11 yake na kuona performance ktk mbinu, mifumo nkCoastal Union is Local Friend Match inacheza Ligi ya VPL ambayo pia tunajiandaa kwayo. Kwa Upande wa International Friend Match ilipaswa tutafute Mshindani ambaye yuko level za Ligi ya CAF CHAMPIONSHIP ili tupate kipimo sahihi. Hatukupaswa kuongozwa na Akili ya Hitimana ambayo imejawa Ukabila wa Kirundi. Haya niambie Aigle Noir inacheza Ligi ipi ya CAF ili iweze kuwa kipimo sahihi kwa Lunyansi???
Daaaaaah unapoanzisha propaganda angalau uwe na taarifa sahihi.Inshort kumleta Huyo Hitimana Simba tumerudi nyuma miaka 10.
Kocha ana majungu sana, kule Biashara United timu iliponea chupu chupu kushuka daraja kwa falsafa zake ameondoka leo timu iko Kimataifa.
Akaenda Namungo alichoweza ni kujaza Warundi wenzake 6 akina Nahimana, Bigirimana, Nzigamasabho, Kwizera nk kwa Upendeleo na Ukabila wao timu ikayumba sana, akaingia Morroco Namungo ikaenda Kimataifa.
Akaenda Mtibwa akawavuruga weeeee wameishia kukarbia kushuka daraja msimu huu.
Kwa masikitiko makubwa haka ka Bwana majungu kameletwa Simba. Jumapili kamehojiwa na media kanasema Simba imeuza Wachezaji muhimu wawili Chama na Miq hivyo tusitegemee mambo makubwa kama misimu iliyopita.
Mara paaap kamewapa mchongo Warundi wenzake EAGLE NOIR kuja kucheza gemu ya kirafiki na Simba! Tayari hapa unaona Uongozi wa Simba umeanza kuingizwa kwenye 18 za huyu Mnafiki na Mkabila. Kama kweli angetanguliza weledi mbele tungealika WAGANDA BINGWA WA KAGAME CUP 2021 waje tujipime lkn kwa upuuuzi tumewaleta hao mataptap. Hii siyo dalili njema
Mam...ae zake tusipostuka Mapema Mwakani sajili 3 tutaletewa Warundi waje kula Pensheni pale Msimbazi kama KAZE alivyowafanya UTO kwa FISTON na NTIBA.
Vilabu vikubwa Simba na Yanga hizi sio zama za Makocha Warundi maaana Wanatanguliza UKABILA zaidi ya Weledi.
SIMBA NGUVU MOJA tupaze sauti huyu Mnafiki aondoke zake pindi Da Rossa atakapopata vyeti 😭😭😭😭
Nimekupata Mhutu wa Burundi na Vipi ajenda yenu ya Siri kuwaleta magarasa kwenye timu mnazofundisha itaendelea au mtaaachana nayo?Daaaaaah unapoanzisha propaganda angalau uwe na taarifa sahihi.
Morocco sio aliyeipeleka Namungo mashindano ya kimataifa, Tafuta ajenda nyingine