Uongozi wa Simba kwa Hitimana tumeteleza

Wewe ni Muongo Muongo tu,Namungo alieipeleka kimataifa ni Hitimana
Mtibwa Hitimana msimu uliopita aliiifundisha kwenye mechi 6 tu
 
Wewe utakuwa Haji Manara si bure. Na siku si nyingi huko wananchi watakutia kiberiti
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu haka ka Hitimana kamepasua Chama letu
 
Jamaa mnafiki sana....warundi hawana tabu, tabu ni ww
Yule Mrundi mwenzenu Ndayiragije kule Geita Gold ameshatimuliwa bado huyu wa Simba Hitimana naye siku si nyingi atatolewa nduki maaana ashawavuruga vya kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…