Uongozi wa SIMBA SC mnazingua.

Uongozi wa SIMBA SC mnazingua.

M-TZ1

Member
Joined
Jun 3, 2020
Posts
79
Reaction score
133
Hatakama ni bure.. ndiyo nini hiki tunaangalia hapa Uhuru Stadium..?

Tumekuja kuagalia mpira ila hapa kinachoendelea ni gwaride la maafande makuruta wa mataifa mbalimbali ya Afrika.

Mchezo ilibidi uanze saa nne kamili asubuhi, ila hadi muda huu kwenye pitch kuna makuruta yanapiga gwaride

Kama game hakuna tuambieni tuondoke basi.
 
Simba anacheza na ? Asubuhi hii?
 
Mkuu asubuhi yote hii unaangalia mpira? Tena wa bure na bado unaleta makasiriko?
Mh Waziri ongeza tozo.

Sent from my TECNO CG7 using JamiiForums mobile app
 
Simba anacheza na ? Asubuhi hii?
Yes
20220903_100504.jpg
 
Mkiambiwa Simba haina viongozi wenye akili ya mpira mnabisha.

Pambana sasa.
 
Nimeanza kuelewa falsafa ya simba sasa.
Kuna team flani ivi inatafutwa ya maana sana.
Hili nalizungumza baada ya kuona vijana wadogo waliyoanza 1st eleven ya leo.
 
Vipi wanaupiga mwingi? Ngapi ngapi..
 
Back
Top Bottom