Simba anacheza na ? Asubuhi hii?Hatakama ni bure.. ndiyo nini hiki tunaangalia hapa Uhuru Stadium..?
Tumekuja kuagalia mpira ila hapa kinachoendelea ni gwaride la maafande makuruta wa mataifa mbalimbali ya Afrika.
Mchezo ilibidi uanze saa nne kamili asubuhi, ila hadi muda huu kwenye pitch kuna makuruta yanapiga gwaride
Kama game hakuna tuambieni tuondoke basi.
Mkuu asubuhi yote hii unaangalia mpira? Tena wa bure na bado unaleta makasiriko?Hatakama ni bure.. ndiyo nini hiki tunaangalia hapa Uhuru Stadium..?
Tumekuja kuagalia mpira ila hapa kinachoendelea ni gwaride la maafande makuruta wa mataifa mbalimbali ya Afrika.
Mchezo ilibidi uanze saa nne kamili asubuhi, ila hadi muda huu kwenye pitch kuna makuruta yanapiga gwaride
Kama game hakuna tuambieni tuondoke basi.
Mpira ni moja kati ya burudani ninazozipenda.Mkuu asubuhi yote hii unaangalia mpira? Tena wa bure na bado unaleta makasiriko?
Mh Waziri ongeza tozo.
Sent from my TECNO CG7 using JamiiForums mobile app
Hio As Asta Zolar ni ile inayocheza Ndondo au?
Vipi wanaupiga mwingi? Ngapi ngapi..Nimeanza kuelewa falsafa ya simba sasa.
Kuna team flani ivi inatafutwa ya maana sana.
Hili nalizungumza baada ya kuona vijana wadogo waliyoanza 1st eleven ya leo.
Situmii mmea mzee kama wewe, furahia mechiAcha bangi wewe...
mechi ni saa nne kamili asubuhi.
Sifanyi kazi weekend..