Uongozi wa Simba SC ujitokeze hadharani kuomba radhi mashabiki kwa kudanganya kuwa wataistaafisha jezi ya Mkude namba (20)

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Baada ya Jonas Mkude kwenda Yanga Sc msemaji wa Simba sc Ahmedy Ally alijinadi mbele ya Media na kusema kuwa jezi namba ishirini itastaafishwa kutokana na heshima kubwa aliyoiweka klabuni hapo.

Cha kushangaza jezi namba 20 kapewa mchezaji mwengine bila taarifa kwa mashabiki Kama ilivyozungumzwa mwanzo.

Uongozi wa Simba sc ujitokeze hadharani uombe radhi kwa kuwadanganya mashabiki.

 
Aloooooooo
situlikubaliana wanasimba wote ni madunduka
 
Simba nao ni wa kuwaamini? Si ujiulize zile 20bn wanazosema kila siku kuwa Mo keshaziweka benki, aliweka benki gani na lini?
 
Wewe unaumia roho kwani shabiki wa Simba...halafu kugawa namba au kutokuwaga namba wala siyo suala la mashabiki.
Kwani nyie ilivyogawiwa namba Sita kwa mtu asiyehusika mliombwa radhi.
Acha ufala.
 
Tulipanga kumuaga vizurii simba day yeye ameleta nyodo kuleta mahaba na timu iliyompa mkataba wa Mwaka mmoja,Akiyoka Hapo ni Singida tuu[emoji23][emoji23]
 
Bila shaka Viongozi walikurupuka kutoa lile tamko. Sijui walitegemea atastaafu soka baada ya kuistaafisha hiyo jezi yake!!
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuandika uongo, hawakustaafisha jezi baada ya mkude kwenda yanga waliistafisha baada ya kelele kuwa hajaachwa kwa heshima, ila alivyoenda yanga wakaamua kuirudisha
 
Waipumzishe wakati yy walietaka kumuenzi hajapumzika..wacha aonyeshwe dharau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…