NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Baada ya Jonas Mkude kwenda Yanga Sc msemaji wa Simba sc Ahmedy Ally alijinadi mbele ya Media na kusema kuwa jezi namba ishirini itastaafishwa kutokana na heshima kubwa aliyoiweka klabuni hapo.
Cha kushangaza jezi namba 20 kapewa mchezaji mwengine bila taarifa kwa mashabiki Kama ilivyozungumzwa mwanzo.
Uongozi wa Simba sc ujitokeze hadharani uombe radhi kwa kuwadanganya mashabiki.
Cha kushangaza jezi namba 20 kapewa mchezaji mwengine bila taarifa kwa mashabiki Kama ilivyozungumzwa mwanzo.
Uongozi wa Simba sc ujitokeze hadharani uombe radhi kwa kuwadanganya mashabiki.