Uongozi wa Simba SC ujitokeze hadharani kuomba radhi mashabiki kwa kudanganya kuwa wataistaafisha jezi ya Mkude namba (20)

Uongozi wa Simba SC ujitokeze hadharani kuomba radhi mashabiki kwa kudanganya kuwa wataistaafisha jezi ya Mkude namba (20)

Aloooooooo
situlikubaliana wanasimba wote ni madunduka
.
FB_IMG_1682646137959.jpg
 
Mi nahisi hapo shida ni yeye kuhamia timu pinzani ila angeenda timu nyingine Taifa lingine jersey bila shaka ingestaafishwa mapema sana
 
Mi nahisi hapo shida ni yeye kuhamia timu pinzani ila angeenda timu nyingine Taifa lingine jersey bila shaka ingestaafishwa mapema sana
Hiyo team kama hakupata?
Yaani mmefukuza mnataka asifanye kazi pengine aishi vip? Apataje kipato
Kwani kucheza yanga ni uadui mshikaji yupo kazini apate kipato maana hapo simba hana mkataba hapati mshahara

Nyie mtatunza mke na watoto wake?
Acheni uswahili
 
Back
Top Bottom