Uongozi wa Simba SC ule Upuuzi uliofanyika jana nje ya Uwanja wa Taifa usirudiwe tena tafadhali kwani Utatugharimu na kuja Kujutia

Mwenye uzi kaukimbia..
Sikuandika ( Sikuanzisha ) Uzi huu ili nipambane na Wapumbavu Wenzako wengi hapa, bali nimeandika kutoa Angalizo langu kutokana na Jambo Mtambuka husika. Mliozaliwa na Shahawa zilizokuwa na Funza hamjawahi kuwa na Akili hata kidogo. Mnaacha Kujadili Uzi ( Mada ) mnahangaika na ID yangu hii ya All - Rounder na Yule mnayempenda kwakuwa huwa anawakazeni vizuri na sasa Mmemisi sana hapa JF.
 
CAF haina mamlaka nje ya uwanja.. Tambua kwanza hlo...

Kama ni hvyo CAF wangekataza hata kwenye vibanda umiza
 
Wewe siyo mwana simba, ni utopolo wa kutupwa! Au unataka tuanike post zako za kuikandia simba? Usituwangie mchana kweupe wala usituwangie.
Katazo lilikuwa la kutokuingia uwanjani na si vinginevyo.
 
Tume kupata shabiki mkereketwa wa utopolo,
Uzuri ni kwamba maamuzi yeyote huwa hayatoki ktk kichwa cha mtu mmoja
 
Asichokijua ni kwamba CAF haiongozwi kwa utashi wa mtu bali kwa kanuni na taratibu zake.......
 
CAF walisema tusiingie uwanjani hawakusema tusikae nje ya uwanja
Sahihi, umenikumbusha mashabiki wa Liverpool kipindi wamechukuwa ubingwa. Walishindwa kukaa ndani badala yake wakaaa nje ya viwanja na kupiga mabaruti.
 
CAF walisema tusiingie uwanjani lakini hawakuweka kwamba washabiki wawe mita ngapi kutoka ulipo uwanja so kama wana bifu zao fresh tu
 
Utopolo km Utopolo Ni ugoro.
 
CAF walisema tusiingie uwanjani lakini hawakuweka kwamba washabiki wawe mita ngapi kutoka ulipo uwanja so kama wana bifu zao fresh tu
Mwandishi ni Utopolo hamjajua bado hilo???
 
Umeandika vyema
 
@Paw Moderator

Tunaomba ban kwa huyu mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…