NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Nimesikia Kuna mashabiki wakitamba kuwa Al ahly atapigwa goli 3 bila wengine wanaropoka kuwa "mwarabu atapigwa sita maana kwamkapa hatoki mtu"
Kwa mtu timamu mwenye akili timamu na weledi wa football hawezi kuropoka maneno Kama hayo akiwa na kikosi Kama Simba sc mbele ya al ahly.
Kupitia jukwaaa hili pendwa na lenye wasomaji wengi sana NALIA NGWENA nauomba uongozi wa Simba sc uiitishe press conference kabla ya mchezo ili iwaandae kisaikolojia mashabiki watakao ingia na matokeo mfukoni ili lolote litakalo wakuta Simba sc liwe ni Jambo la kawaida tu.
Nawatahadharisha viongozi wa Simba sc wasipofanya hivyo basi tutawakosa ndugu zetu watakao ingia na matokeo mfukoni.
Tukutane kwa mkapa.