Uongozi wa Simba sc unapaswa kuitisha press conference kabla ya mchezo ili kuwaandaa mashabiki kisaikolojia

Ha ha haaaa! Mechi ni ya Simba lakini presha wanayo Yanga. Kwani huyo mtu muhimu kwako atapotezwa na nini hadi aokolewe na press?

Ova
Pira la Ahly sio la Coastal Union jamani! Mi naogopa maana mtu mwenyewe kakaza shingo hataki hata kukiri mechi itakuwa ngumu!
 
Pira la Ahly sio la Coastal Union jamani! Mi naogopa maana mtu mwenyewe kakaza shingo hataki hata kukiri mechi itakuwa ngumu!
KUNA WENGINE WANADHANI WANAKWENDA KUCHEZA NA MTIBWA
 
"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 

Simba kaiheshimisha Tanganyika mbele ya dunia: Wachambuzi uchwara karibuni mtoe nyongo zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kibaya zaidi mechi inapigwa ijumaa, waarabu wakishaswali swala ya ijumaa wanajiandaa kwenda uwanjani, kwa muelewa atakuwa kanielewa ninachomaanisha, mwakarobo Awana bahati na ushirikina wao safari hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kipigo kipo palepale,wewe subiri masandawana wakukande biashara yako iwe imekwisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…