A
Huyu haitaji tena kujifunza anataka arudishiwe meza yakePole Sana... Nyakati ngumu zipo kutufunza
Mahakamani pia atachelewa aende kwa wazee kwa msisiEndelea kupigania haki yako kupitia njia za kiofisi.
Ukiona bado unapigwa dana dana nenda mahakamani.
Sawa Siku nyingine hatoaga viongozi atatafuta mbinu mbadala akiondokaHuyu haitaji tena kujifunza anataka arudishiwe meza yake
Ulitoa taarifa kipindi unaondoka?Nipo Wilaya ya Ubungo Mkoani Dar es Salaam nimedhulumiwa meza yangu na Soko la Mabibo na meneja wa soko hilo aitwae Gofrey akishirikiana na mtumishi mwenzie aitwae Kibadeni.
Viongozi hapo wamefanya hayo baada ya mimi kuwaaga kuwa nauguliwa na baba yangu Mkoani Tanga, wakati narudi nakuta meza yangu anafanyia biashara mtu mwingine.
Nilivyoenda ofisini kumuona Meneja ananambia eti kuna mtu alikuja ofisini kusema ananidai ndiyo wanamuita mtu ambaye nimemkuta anafanyia biashara meza yangu, eti amlipe aliyedai kuwa ananidai pasi ya mimi kuwepo.
Nimeumia sana kwani kitu hicho si cha kweli ila viongozi hapo wameingiwa na tamaa wakauza meza yangu, naombeni msaada wenu kwani meza hiyo ndio naitegemea kuliasha familia yangu na kunipa pesa ya kumuuguzia mzee wangu.
Hapo labda avizie mwigulu akifanya mkutano apambane mpaka apate mic. 🎤Mahakamani pia atacheleew aende kwa wazee kwa msisi
Nenda manispaa ongea na mkurugenzi ukitoka hapo nyoka polis mazima fata hatua za kisheria mpaka kieleweke nenda mpaka Kwa mkuu wa mkoa.Nipo Wilaya ya Ubungo Mkoani Dar es Salaam nimedhulumiwa meza yangu na Soko la Mabibo na meneja wa soko hilo akishirikiana na mtumishi mwenzie.
Viongozi hapo wamefanya hayo baada ya mimi kuwaaga kuwa nauguliwa na baba yangu Mkoani Tanga, wakati narudi nakuta meza yangu anafanyia biashara mtu mwingine.
Nilivyoenda ofisini kumuona Meneja ananambia eti kuna mtu alikuja ofisini kusema ananidai ndiyo wanamuita mtu ambaye nimemkuta anafanyia biashara meza yangu, eti amlipe aliyedai kuwa ananidai pasi ya mimi kuwepo.
Nimeumia sana kwani kitu hicho si cha kweli ila viongozi hapo wameingiwa na tamaa wakauza meza yangu, naombeni msaada wenu kwani meza hiyo ndio naitegemea kulisha familia yangu na kunipa pesa ya kumuuguzia mzee wangu.
Ongea nae kustaarabu mwambie una muomba akurudishie meza yako kwa amani akikataa mwambie kabisa naenda kijijini Kuongea na wazee namna yakupata haki yangu ila utakua umecheleaa sana....Nipo Wilaya ya Ubungo Mkoani Dar es Salaam nimedhulumiwa meza yangu na Soko la Mabibo na meneja wa soko hilo aitwae Gofrey akishirikiana na mtumishi mwenzie aitwae Kibadeni.
wa na tamaa wakauza meza yangu, naombeni msaada wenu kwani meza hiyo ndio naitegemea kulisha familia yangu na kunipa pesa ya kumuuguzia mzee wangu.