Uongozi wa songea boys wafanya uonezi wa kupindukia kwa wanafunzi

DR. MWAKABANJE

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
1,976
Reaction score
3,130
Ndugu wanaJF habarini za weekend? Bila shaka mu wazma wa afya njema! Kuna jambo limetokea kwnye shule ya wavulana mbali na kwamba mdogo wangu naye na mhanga wa tatizo hilo pia naona ni kinyume kabsa na taratibu za malezi kw wanafunzi na pia ni uonezi wa hali ya juu! Ni hv kwa maelzo ya mdog wang jumanne iliyopta walmu waliwanya upekuz wa sim,laini, betr au kitu chocht kisichoruhsw na wapo walioptkn na sim, lain, betri, chaja nk na uongz wa shule umeamua kuwasmamsha masom kutkn na kuktw na vfaa hvyo sina tatzo na alyepatkn na sm lakn lain, betr, charger nk ni uonevu wa hali ya juu labd wahusk watusaidie kwn sheria zinasemaje na kabl hatujafk huko watuonyesh joing instrunctions zao! BIG RESULTS MPOOOOO!
 
Kaka tulia kwanza maana unaonakana kama umepanic.
Hujaeleza kipi hasa kilichotokea mpaka ukaona ni uonevu, suala la join instruction ilitakiwa uwe nayo/uisome kable huyo dogo hajaanza shule, tulia aisee na utueleze vizuri baada ya hapo tutachangia vizuri.
 
kama huna simu, na huhitaji kuitumia. betri, chaja na laini vya nini??

ni sawasawa na kukaa na matairi ya gari wakati hauna mpango wa kulinunua, siku ukitokea wizi kwenye gari ya jirani wakikukuta nayo utamlaumu nani??

halafu mwambie huyo mdogo wako, hata lain ya simu ameshindwa kuificha mpaka amekamatwa nayo... hebu mpe techniques kidogo za kuishi boarding school..
 
Reactions: y-n
sasa mkuu huo uonevu mie sijauona hapa,kwani simcard,betri na charger zina matumizi tofauti zaidi ya kwenye simu?
 
Hajaonewa MTU Harpo...Kama kakutwa Na charger Ina maana anayo Na simu pia
 

DR mzima inakuaje unaandika kama mtoto wa form one?.kweli facebook imeharibu watu.
 
Pole sana.
Huo ni uonezi.
Nadhani ni vema kulifikisha suala hilo bodi ya shule
 
Hebu kuweni na upeo mpana, watoto wamekamatwa na Charger za Simu, Battery za Simu, na Line za Simu, halafu unasema hawana makosa?

Hivi wewe unadhani hizo line, charger, na battery walikuwa wanazitumia kama mapambo?

Au unataka kusema walikuwa wanatumia hizo Charger kama midoli ya kuchezea!

Hata kama mdogo wako kanaswa, isikufanye uwe mfinyu kimawazo!

Afu najua imekuuma sana mdogo wako kukamatwa, mnunulie midoli na magari ya mabox afu mpe akachezee anapoenda shule, mkataze kuchezea line, charger na battery za simu awapo shule. Hii itamsaidia sana, itakusaidia na wewe pia maana hatarudishwa tena, sanasana mtengenezee magari ya mabox.
 
Simu haziruhusiwi hapo box 2. Mwl.komba alninyang'anya nokia yangu ya tochi sikupata hadi nilipomaliza pepa(2010). So mtafutie dogo lako tuition apge b4 hajarejea shule.
Ibarikiwe box 2 milele.
 
Reactions: y-n

Shule hiyo naifahamu ila umeendika kiasi ambacho tunashindwa kuchangia
 

Uandishi gani huu, kwanza wewe ni Dr.wa nini hata kuandika tu shida.?
 

huyo mdogo wake ni mmoja ya wale wanaoandaliwa kupata division 5 , unashindwa kuficha hata laini isionekane na mwalimu? enzi zetu tulishafuga kitoto cha nguruwe bwenini mpaka akawa nguruwe bila waalimu kusikia sauti wala harufu ya nguruwe, na hizo ndio division za ukweli!
 

Mimi naona tatizo liko kwako kaka wa huyo kijana! huko shuleni amekwenda kusoma au kuwasiliana na dunia? kama unadhani huko ni kuonewa nenda kamhamishe mdogo wako aende huko kusiko na tartibu, kanuni na sheria,ambako kuvuta bangi ruksa, umalaya ruksa,ushoga ruksa halafu uone huyo mdogo wako atakuwa kundi gani? watanzania kwa kujishauwa, huwawaezi eti leo anataka kujifanya anajua sana sheria.
 
Mie naona wako sawa unless izo laini ziwe sio za simu


Sent from my iPod touch using JamiiForums
 
Box 2 shule ya ukwel sana enzi zetu tulikua tunasema boys peponi, da tamsala wakija disco asikwambie mtu,
 
Ha ha ha ha ha!
Watanzania Rahaaaaa!

Kwa hiyo hapo mtanzania utamsikia anasema, "Serikali iliangalie hili"

Hivi inawezekana mwanafunzi akae na charger au betri ya Simu pasipo kuhusika na utumiaji wa simu?

Okay, itakuwa alikuwa anachezea tu hizo charger, labda ni moja ya michezo yake.
 
Box 2 shule ya ukwel sana enzi zetu tulikua tunasema boys peponi, da tamsala wakija disco asikwambie mtu,

Box tu nilipelekwa pale nikaona km niko jela,mara kulima,mara kuchunga,kusaga mashneni,vilanja wana pawa kuliko mwl,kilanja anaweza kukupa adhabu ngum hujawah kuona,ukichelewa parade n matatzo,naish bweni la ujamaa,kwenda twn ciliv ni kosa kubwa na ujinga mwngne,nikahama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…