Kaka we ulikuia mtoto wa mama pale temu ya kwanza nilipata shida hiyo nilivorudi nikatafuta kacheo kangu ka kuzugia basi hizo kwangu kero nlikua nazisikia kwa watu, kilanja akileta za kuleta we ndo unamwazibu kabla hajakupeleka kwa nyanvi, nimesoma boys pamoja na fujo zangu sijawai onywa hata na mwalimu wa darasa, nilikua azimio5 boys peponi